Aunt Ezekiel: Hata kama nimeolewa sitaacha kuonyesha upaja wangu kwa mavazi ninayovaa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel pichani.


Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti chetu, Aunt alisema watu wengi wamekuwa wakimtaka avae kistaarabu kwa kuwa ni mke wa mtu."Waniache bwana, sijakataa kama mimi ni mke wa mtu lakini pia nipewe uhuru kwani najitambua," alisema.
 
Mke wa wema sepetu aka mbeba mapochii...anaona raha kuendesha gar la wema
 
Ndo mademu wengi wa kibongo.. Ndoa anataka usistadu anataka
 
Bora asingeolewa kwanza aendelee endelee kuonesha huo anaouita upaja
mi naona ni tupaja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…