youngforeva
Member
- Apr 26, 2011
- 25
- 2
umeona eh hata mi nilihisi hivyo maana mtu huwezi msimamisha mtu yule kisa ana nyodo mbona hao viongozi wenyewe wanagombana kila siku kati ya shirikisho na chama halafu hawajiuzulu basi na wao wajiuzulu ili tujuevitu vingine vinachekesha na kusikitisha..hao bongo movie ndio wakina nani wenye akili finyu namna hiyo ?badala ya kusaidia sanaa ikuwe wanaendekeza majungu. unaweza fuatilia ukakuta kuna mtu alinyimwa penzi na huyo binti...wanaakili kama za Nape
hakuna aliyeoza bana hayo ni maisha ya kawaida tena watu wa huku uswahilini ambao hawajulikani mbona ndio wameoza kuliko hao wa bongo movie ila hamuwasemi
tunda la kati atoe mara ngapi???Atakua ameombwa atoe tunda lakati wamchape mipini kakataa ndio mana wamemfungia,kama ni hiyo sababu bora wakufungie kuliko kudhalilisha utu wako dada.
we huna lolote wivu tu nae umekujaasheria inafata mkondo wake bila kulinganisha pande tofauti,eti uswailin ni zaid ya aunt ezekiel,kwahiyo asifungiwe kisa uswaz ni zaid.
we huna lolote wivu tu nae umekujaa