youngforeva
Member
- Apr 26, 2011
- 25
- 2
- Thread starter
-
- #21
we nae ingia tu hapo baharini uweze kuoga maana umbea ulikuwepo tangu mwanzo ila sisi ytunauendelza tena we nahisi ungekuwa msanii wa bongomovie usingeuza hata movie moja maana unaonekana una roho mbaya kama ya paka mwenzenu kufungungiwa umefurahiiiiiiiiiiiiiiii,,,haya igiza we tukuoneumbea tu!
Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni
Dah! Mi aunt ezekiel tu ndio namkubali. Hizo mamlaka ziache kuingilia maisha binafsi
hahahahaha! Haya bana..kumbe na wewe unajua kuchagua wa kuwakubali!!
Aunt alifungiwa na viongozi wa Bongo Movie kushiriki katika filamu kwa miezi minne,,,eti kisa kikidaiwa ni nyodo na mengine yaliyo nyuma ya pazia...mbona kuna watu kibao wakorofi kuliko aunty au hawawaoni
kapigwa stop kwa 7bu gani?
umbea tu!
Hiyo bongo movie ni nini? Ina mamlaka gani?
Ipo kwa sheria ipi? Ipo chini ya wizara gani? Nani ana iongoza? Imeanza lini? Ina miliki nini?
Mbona mnanichefua hamjui kuwa ccm washatuuzi jamani?