Beautiful Nkosazana
Senior Member
- Oct 4, 2016
- 176
- 660
Du Kweli Bongo nchi ya kipekee. Hili dubwasha nalo ndiyo liko kwenye kundi la warembo na ma-selebreti! Utafikiri ni cross-breeding ya tufe na bull dog!ulimbukeni, ukiwa na akili timamu huwezi vaa hilo dudu mbele ya mwanao unayempenda
Wewe ndio mshamba..Kipi cha ajabu hapo mkuu ?View attachment 763693
Aunt Ezekiel akiwa na mwanae
Je! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?
Aisee wanawake wa kibongo acheni ujinga sio kila kitu ni chakuiga wazungu haya sio maadili mazuri mbele ya watoto wenu.
wewe wasemaMtoto wa nyoka ni nyoka ... subiri uone ..
Nikupe number?ila dada ana rangi nzuli kweli
Tatizo ni kwamba sura pesaila dada ana rangi nzuli kweli
omba Mungu akupe uhai" utaelewa maneno yangu yalikuwa namaana. ipiMkuu Siyo poa kumuita mtoto Malaya