Hata kama huyo mtoto atakuja na mambo ya ajabu ukubwani haihalalishi kumwita malaya sasa, mtoto asiyejua chochote.omba Mungu akupe uhai" utaelewa maneno yangu yalikuwa namaana. ipi
Aisee..Binafsi sioni kama kuna tatizo maana anatusaidia kutengeneza vicheche wa siku za baadae. Dunia hii bila vischana vihuni vihuni haitaenda kabisaaa, magazeti ya shigongo yataandika nini????
sote hatuwezi kufanana
huo ni utumwa, wazungu na watanzania ni jamii mbili tofauti. mbona wao hawatuigi tamaduni zetu? Sasa kukaa nusu utupu ndo kuleta maendeleo?wabongo tunakua maskini sababu tunahangaika sana na vitu vya kipuuzi... mama wa dot com kama aunt ezekiel avae kama mama yangu wa enzi zile kweli aliyezaliwa na kukulia sitimbi... uonagi picha za kina klyn na vichupi vyao au wamama wengi beach na watoto wao wamevaa vichupi.. au hata kwenye mitoko wamekula vimini na mbele ya watoto wao
huo ni utumwa, wazungu na watanzania ni jamii mbili tofauti. mbona wao hawatuigi tamaduni zetu? Sasa kukaa nusu utupu ndo kuleta maendeleo?
Hata ukimficha mama akikua atajifunza chuoni, shileni nk.