Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
11,763
Reaction score
11,873
Jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu Aunt Ezekiel.










 
Kama ni kuweka mapozi ya kutega tu, namkubali
 


Mola akupe nini tena mama,,
 
Mhhhh.......

Mimi msichana tanzania hii akiwa yupo kwenye muziki au
filam za kibongo au hata urembo huwa nakuwa sina hamu nae kabisa

mimi huwa na kinyaa sana.....

Wasichana kama hawa na hao wengine
wanaosifiwa na magazeti ya udaku

sjui irene uwoya au wema sepetu au johari au ray c...

Hata nipewe bure siwataki............
 
Nimekuelewa BOSS, ila tukiweka pembeni tabia na mengineyo tukaangalia tu uumbaji wa Mola, una lipi la kusema?
 
nimekuelewa boss, ila tukiweka pembeni tabia na mengineyo tukaangalia tu uumbaji wa mola, una lipi la kusema?

ni kweli ni msichana mzuri.....
Angekuwa sio mchafu hata mimi ningemtamani.
 

Definetely, I support your point!!!
 
Wanatumika mno na kila mwenye vijisenti hapa mjini, kama yule mainda sijui alikuwa mweusi wa kawaida lkn ukimuona leo hii sijui kanywa kidonge, kawa mweupe pe kushinda hata maimartha, mh kweli inasikitisha
 
Wanatumika mno na kila mwenye vijisenti hapa mjini, kama yule mainda sijui alikuwa mweusi wa kawaida lkn ukimuona leo hii sijui kanywa kidonge, kawa mweupe pe kushinda hata maimartha, mh kweli inasikitisha

hivi maimartha yupo?
 
Hebu nielewesheni huyu ni mwanamke au transvestite? Naona jina lake ni Ezekiel lakini munavomjadili kama mwanamke!
 
Sio wote wenye tabia mbaya kuna wengi tu nawafahamu wanatabia nzuri na wako kwenye fani za music, film, miss etc. I repeat SIO WOTE.
 
Sio wote wenye tabia mbaya kuna wengi tu nawafahamu wanatabia nzuri na wako kwenye fani za music, film, miss etc. I repeat SIO WOTE.

Kweli ati, ila nadhani wengi wana-konsida ule msemo wa samaki mmoja akioza...

Ila huyu dada ana mvuto wajameni.
 
Ila huyu dada ana mvuto wajameni.
Hapa rahisi ukiwa na mai waifu wako jirani ukakuta unapigwa konzi maana kuacha kumwangalia si rahisi. Watu wengine wameumbwa kuleta vurugu duniani tu aaaaaggggggggggggggh!
 
nasikia huyu ni shemale....plz msaada wenu...
 
nasikia huyu ni shemale....plz msaada wenu...

Hapana ni binti ila jina lake ni Aunt baba yake ndo anaitwa Ezekiel,ni binti wa mwanasoka mahiri wa zamani Ezekiel Greyson 'Jujuman'..
 


Mkuu the Boss nadhani ni kuunge mkono katika hili !!!! Hawa si watu wa kutazama hata kidogo na mwingine ni Lady Jey Dee..!! Hata kutazama filamu zao sipendi wala kwenda kwenye miziki yao , Nikiwa ndani ya Bus wakiweka filamu au nyimbo zao huwa napata kichefu chefu kibaya utadhani nilikuwa kwenye bembea kama lile la Jamaica !!! Huwa naombaga wazime au wanipatie pillow nijifunike nisione wala kusikia..Sipendi Vicheche hao..!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…