Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

Tongue blister you must be a hater!

Hapana ni binti ila jina lake ni Aunt baba yake ndo anaitwa Ezekiel,ni binti wa mwanasoka mahiri wa zamani Ezekiel Greyson 'Jujuman'..
Asante sana Balantanda
 
Inabidi mdada huyo apate darasa la kupiga picha! Pozi zake ni za kizamani sana!
 
Hapa rahisi ukiwa na mai waifu wako jirani ukakuta unapigwa konzi maana kuacha kumwangalia si rahisi. Watu wengine wameumbwa kuleta vurugu duniani tu aaaaaggggggggggggggh!
heheeee
 



Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni​
 
aunt endelea kukimbiza watu ile mbaya...
Hakyanani vile, mai waifu akinikuta naangalia picha hizi lazima ataanza kuhisi namhitaji huyu tu. Binti kaumbika mashalah, lakini nahisi kwakuwa anajua basi atakuwa anaringa ile mbaya, na atakuwa aghali sana au hafai kabisa. Kwangu hafai kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni​
Mkuu kibunango, huyu lakini sidhani kama ni mkali kiviiiiile, ni kwa vile ana access ya kuwa kwenye luninga sana. Kuna watoto wakali si kitoto. Subiri Masanilo atoke Bongo arejee akupe upande wa pili, atakwambia huyu hamna kitu, ni make up na vijisenti vimemwongezea kufikia anavyoonekana hivi. Naona ana shanga za gold, dah, mitego hii jama!
 
kazi ipo mwaka huu.....
 
Ni muonekano wa kujifariji uliofunikwa na ukungu wa kufikiri wenye mwanga wa muda na sehemu anayotazama tu,kwani umechangia vipi kubadilisha jamii au wasichana wenzake kubadilika kimaendeleo au kuinua sehemu ya uchumi wa tanzania
 
and she is PHAT. Macellulite kibao halafu mwili una rangirangi kama rainbow.

GT upo wapi??

Ni muonekano wa kujifariji uliofunikwa na ukungu wa kufikiri wenye mwanga wa muda na sehemu anayotazama tu,kwani umechangia vipi kubadilisha jamii au wasichana wenzake kubadilika kimaendeleo au kuinua sehemu ya uchumi wa tanzania

haters never live long!
 
mbona anaonekana kama jambazi la siku nyingi.

Macho yako tu ndugu.

wanatafuta umaarufu kwa nguvu

Hata wewe ukiipata hii chansi naamini utaitumia tu. Nimependa mtazamo wako lakini.

nasikia huyu ni shemale....plz msaada wenu...

Nop!


Aisee, sawa kaka.

Mkuu wacha niwe Hater !!!! Naongea kile na feel .. I do hate them kwa kweli..!!!! Hawa mabinti wengi wao ni wachafu sana..Wanatumia sura zao kiuchafu chafu tu..Jamii ya jinsi hiyo siipendi..!!!
Ok.

Tongue blister you must be a hater!


Asante sana Balantanda
Pamoja mkuu.

Inabidi mdada huyo apate darasa la kupiga picha! Pozi zake ni za kizamani sana!
Ila kwa pozi hilo tupo tunaotokwa na udenda mkulu.







Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni​
Kweli mkuu una macho makali.


Mkuu una macho mazuri sana kiasi umeweza kuiona ile shanga !!!! hasa ukizingatia ipo karibu na maeneo ya makalio !!!!
Sure.

Inawezekana pia mkuu.

and she is PHAT. Macellulite kibao halafu mwili una rangirangi kama rainbow.
Na mvuto juu.
GT upo wapi??
 

Boss, Mafuska au Viruka njia wapo hata hapa JF. Angalia tu baadhi ya mabandiko katika jukwaa la mapenzi na uhusiano jinsi wanavyojianika nje nje na cha kusikitisha zaidi wengine ni wake za watu. Stuka sana kama mkeo au girfriend anatumia muda wake mwingi katika jukwa hilo.
 
Sio wote wenye tabia mbaya kuna wengi tu nawafahamu wanatabia nzuri na wako kwenye fani za music, film, miss etc. I repeat SIO WOTE.

sio wote ndio lakini huyu hajivui kwa hao baadhi wenye tabia cahfu kama maliwato za stend....

picha hizo kwa lengo gani hasa!!! au ndo biashara matangazo!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…