Labda kukaa uchi ndo kutakmfanya a-reveal the hiden germs ambazo macho yenu hayawezi kuzidetect zikiwa zimehifadhiwa/kusetiriwa na mavazi ya heshima
..Mh! Uchafu wa aina gani mkuu? Mbona vile vingine huwa vinasafishwa na tunaendelea kuvitumia tu? Toto liko bomba lile mkuu acha masikhara.
Celebrity?Jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu Aunt Ezekiel.
Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni
No offence intended,lakini kwa nini anaitwa Aunt Ezekiel? Ezekiel ni jina la mwanaume.
mhhhh.......
Mimi msichana tanzania hii akiwa yupo kwenye muziki au
filam za kibongo au hata urembo huwa nakuwa sina hamu nae kabisa
mimi huwa na kinyaa sana.....
Wasichana kama hawa na hao wengine
wanaosifiwa na magazeti ya udaku
sjui irene uwoya au wema sepetu au johari au ray c...
Hata nipewe bure siwataki............
hii sijaipenda hata kidogo
hee mwanamke mstaarabu hajiachi wazi namna hiyo kama anatafuta soko lol why kwa nini?firstlady kwa nini hujaipenda ina tatizo gani,mwanzako nimeipenda kuliko maelezo.
hee mwanamke mstaarabu hajiachi wazi namna hiyo kama anatafuta soko lol why kwa nini?
..Mkuu kiukweli huyu demu yuko vizuri sana pamoja na kuwa watu wanaponda lakini ndio hivyo mambo ya mungu huwezi kupendwa na kila mtu. Mwenye contact zake anipatie jamani sie tulio shamba huwa hatuogopi hasara, nikiuza heka moja ya tumbaku mafao yote nammmwagie mtoto.Vijana wa mwanamalunda ukimpata kama huyo mbona shughuli yake inakuwa pevu! Kudadadeki mh!
mnyonge mnyongeni ila mvuto anao
biashara matangazo mamiii!!!! ukivificha nani atanunua???
Labda kukaa uchi ndo kutakmfanya a-reveal the hiden germs ambazo macho yenu hayawezi kuzidetect zikiwa zimehifadhiwa/kusetiriwa na mavazi ya heshima
hivi inakuwaje mdada unajiachia kihivyo jamani, aahh hapana! na yule mwenzie Iranga....nope haipendezi kabisa.
ahahahahahaaa...imekaa vizuri hii ila sema ina madhara yake...siku hizi haya matangazo yamekuwa chanzo cha upungufu wa hamu na nguvu za kufanya ngono kwa wanaume...maana 75% ya mabinti wote wapo 3/4 uchi kama huyu...ukirudi home hata my wife ku-do naye inakuwa kazi tayari kiu ya kufanya imeisha kwa kuangalia....kaazi kweli kweli...
mbaya zaidi walengwa ndio sie midume....naomba wanaume wooote tuwe registered kama endangered species
..Mkuu kiukweli huyu demu yuko vizuri sana pamoja na kuwa watu wanaponda lakini ndio hivyo mambo ya mungu huwezi kupendwa na kila mtu. Mwenye contact zake anipatie jamani sie tulio shamba huwa hatuogopi hasara, nikiuza heka moja ya tumbaku mafao yote nammmwagie mtoto.Vijana wa mwanamalunda ukimpata kama huyo mbona shughuli yake inakuwa pevu! Kudadadeki mh!
hatupondi jamani, kama cc wadada humu mavazi yake tu hayajatupendeza...ni mdada mzuri akijictir.