Aunt Lulu ampa Papii Kocha ofa ya penzi

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

MWANADADA aliyewahi kuwa mtangazaji ambaye haishiwi na matukio, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amesema kuwa yupo tayari kumpa ofa ya mapenzi mwanamuziki Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ mpaka asahau maisha aliyopitia.

Akiongea na Risasi Jumamosi, Aunt Lulu alisema amemuona Papii amekuwa mpya na anapendeza kila kukicha hivyo amejitolea kumpatia penzi iwapo atamkubalia ili asahau kabisa shida za dunia.




Johnson Nguza ‘Papii Kocha’.

“Unajua mimi najua kupenda, iwapo nitampatia penzi Papii mbona atasahau kabisa alipotoka, yeye akubali tu maana sijawahi kuona mahusiano yake, naamini kwa kipindi alichokaa jela kama angekuwepo mwanamke angejitokeza lakini haijawa hivyo, mimi nipo kwa ajili yake,” alisema Lulu.

Mwandishi wetu alijaribu kumpigia simu Papii ili kumfahamisha juu ya ofa hiyo ya mapenzi lakini hakuweza kupatikana mara moja.
 
Hivi ina maana hata kama huyo kaka akikukubali hiyo offer ATAKUWA TAYARI KUUZA MECHI!!! (kugonga kavu bila kinga)?!!!!!
wako wengine wanagonga bila kinga si unajua tena ndugu yangu dunia imeharibika hii

ila angekuwa kaka yangu huyo nisingemshauri aingie pale
 
wako wengine wanagonga bila kinga si unajua tena ndugu yangu dunia imeharibika hii

ila angekuwa kaka yangu huyo nisingemshauri aingie pale
Hata kama angekuwa kaka yako ukamshauri angeweza kuji pretend kuwa amepokea ushauri wako lakini baadae akaenda kinyemelea si unajua huo mchezo hauchezwi uwanjani na wala hakuna mashabiki wala refa!!!!
Mungu atunusuru na hili gonjwa linatisha kwa kweli halizoeleki
 
kabisa best ni gonjwa baya sana hili watu hawaogopi kabisaa
 
Wanawake wanakaa ukaaji huo ni watoaji wazuri wa 0713

Ova
 
Huyu nilishamsahau, naona anajikumbushisha
 
Mtu katolewa na msamaha wa Rais anataka ampe gonjwa ambalo halitibiwi kwa msamaha wa Rais
 
Ana miwaya huyu tena mikali ata ukivaa ndom inaungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…