hahaha,,,,,,,,, hii kali!!!!!! ila Mwita25 anahitaji kufahamu ni kivipi huyu mama anatoa mafunzo ya psychology...... je, ni kweli kasomea? maana psychologists wako wachache sana jamani....Ukishataja neno Clouds ujue hapo elimu sio kigezo cha kuwepo au kuitwa pale,ukishajua kuongea saaana na ujanja mwiiingi pale ndio sehemu yako,nawashangaa wasomi wanaosikiliza Clouds.
Mmeomba ile kazi mkanyimwa au??mbona mnaleta mambo personal??hamna issue za kujadili??nendeni Clouds mkaonyeshe kuwa nyie mnaweza zaidi huyo dada ili mpatiwe nyie....pia msisahau mfungue na NGO zenye kutoa ushauri badala kuleta mashambulizi binafsi wala haitwasaidia kabisa....na nawapa taarifa tu ana tender makampuni yoote makubwa unayoyajuaa hapa tz ya kutoa ushauri nasaha na fasaha....pia kutoa huduma ya ushauri kwa appointment ana mikataba mmechelewa sana kama mna wivu na chuki binafsi!!
Hahahaa watu bana... unajua hiyo kada (Saikolojia) nimeipitia kidogo, sasa nikimsikiliza huyo madam binafsi natamani niione CV yakeMmeomba ile kazi mkanyimwa au??mbona mnaleta mambo personal??hamna issue za kujadili??nendeni Clouds mkaonyeshe kuwa nyie mnaweza zaidi huyo dada ili mpatiwe nyie....pia msisahau mfungue na NGO zenye kutoa ushauri badala kuleta mashambulizi binafsi wala haitwasaidia kabisa....na nawapa taarifa tu ana tender makampuni yoote makubwa unayoyajuaa hapa tz ya kutoa ushauri nasaha na fasaha....pia kutoa huduma ya ushauri kwa appointment ana mikataba mmechelewa sana kama mna wivu na chuki binafsi!!
Mwenye mawasiliano yake , nambari za simu naomba anisaidie
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu huyu mama eg elimu, ndoa, uzoefu naomba mziweke hadharani tumchambue.
Unataka kulelewa?
Hapana. Nataka aongee na mke wangu ,
Daah yaani anazingua wewe??? Klauz kwenda kusema ukweri daah .....mm nipo Mwanza !! Ningepata namba zake ingekua poa sanaa nimuendee hewani tuHe hebu nenda kwa wale wa mama wa leo tena pale klauz namskiaga mida ya sa 7 wizoo analeta kwere unataka apate kitchen part!!!!????
Hakupata unyago!&