Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Daah yaani anazingua wewe??? Klauz kwenda kusema ukweri daah .....mm nipo Mwanza !! Ningepata namba zake ingekua poa sanaa nimuendee hewani tu
Hahahaha sikiza una internet jaribu labda facebook
kuandika jina yake inaweza kuja page yake
ama otherwise kuna poqerbreakfast unaweza mpata,
Ama ngoja watu waamke mi mwenyewe nataka lala kesho kibaruani...
Kuwa mpole ndoa ndo ziliVyo.....
Yupi kati ya hawa ni mwanajamii bora. Mwenye elimu kubwa lakini haitumii na mwenye elimu kidogo na akawapatia na wenzie? Wanaoitwa wasomi wa bongo, wengi wao ni vyeti tu, hawana uthubutu wa kufanyia kazi kile wanachokijua. Sadaka endelea bana, Wengi unatupa changamoto kufikiri mambo mengi baada ya uwasilishaji wako. Go on