sinyoritah
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 552
- 346
mimi mwingine kabisa binamu....yeye si alikuwa mjasilia mwili...?we ni iyobo au nyalandu???
mimi mwingine kabisa binamu....yeye si alikuwa mjasilia mwili...?
Hivi wambea wenzangu binamu, Evelyn Salt, Heaven on Earth, Dinazarde....ina maana hamjaamka mpaka mida hii wakati kuna ubuyu mpyaaaa????
Hebu amkeni....vitanda sio vyenu hivo.
Hatimae Aunty Ezekiel amejifungua mtoto, Hongera kwake!
Gazeti la Daily Mail la Wingereza ndani ya dk 15 limeuza nakali Million 56 lenye front page ya huyu aunt
Yaani wewe huna akili na unawashwa kweli! Amejifungua, kwa hiyo tufanye nini?
Tufanye nini na nani?hili ni jukwaa sahihi kudiscuss huyu mtu coz ni celebrity
nitaenda binamu....!ha ha ha basi kadai mwanao binamu
Jamii forum sasa inataka kugeuzwa gazeti la udaku. Kwa uchafu ufanywao na huyu dada hakufaa hata kuletwa humu kwa taarifa kama hii.
Dah Aunt ni celebrity??????????
Celebrity au malaya?
missstrong katika ubora wake!
Mambo?hatari jamani....