Mtu Mzima Kufanya Mambo Kama Hayo Ni Upuuzi,Napata Kichefuchefu Napoona Upuuzi Kama Huo. Napata Mashaka Zaidi Juu Ya Uwezo Wake Wa Kufikiri Na Hata Washauri Wake Wa Karibu.
Sijajua Bado Mheshimiwa Waziri Wa Maliasili Na Utalii Alimchagua Huyu Kwenda Nae Marekani Kutangaza Utalii Wa Tanzania Kwa Vigezo Vipi. PESA YA SERIKALI ILIPOTEA BURE KABISA HAPO NA SIJAJUA BADO HATA KAMA HIVYO VIVUTIO VILIVYOPO HUYO MWEHU ANAWEZA KUVITANGAZA KWA AKILI YAKE NDOGO KIASI HICHO.