warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Eeh!! Makubwa , aunty Ezekiel ammwagia cheche Bosslady tunda kupitia ukurasa wake wa instagram akimtaka msanii huyo amlipe pesa zake za pombe ..
Tunda na show off zote insta kumbe anakopa mpaka pombe tena kwa aunty ezekiel khaa Kweli mjin pagumu
Tunda amejibu madai hayo kwa kusema pesa alimpa Mose Iyobo