kwani kila ukionacho mtu akifanya au akila unafikiri pesa zake fuatilia utaelewa, wenye pesa wachache wengine ni kupewa tuEeh!! Makubwa , aunty Ezekiel ammwagia cheche Bosslady tunda kupitia ukurasa wake wa instagram akimtaka msanii huyo amlipe pesa zake za pombe ..
Tunda na show off zote insta kumbe anakopa mpaka pombe tena kwa aunty ezekiel khaa Kweli mjin pagumu
Ngoja akutane na moto wa mtoto wa mwananyamalaHuyu tunda anatafuta kichapo hamjui aunty Ezekiel mwehu, yule Mswazi atampausha uso
Yani ukalipa?Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.
Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
kick juu ya kick kama pikipikiEeh!! Makubwa , aunty Ezekiel ammwagia cheche Bosslady tunda kupitia ukurasa wake wa instagram akimtaka msanii huyo amlipe pesa zake za pombe ..
Tunda na show off zote insta kumbe anakopa mpaka pombe tena kwa aunty ezekiel khaa Kweli mjin pagumu
Zari la mentali,Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.
Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
Wala sikushughulika naye bcoz she is not my class. Tulikua wengi binti alitorokwa hotel. Naamini ni Malipo ya laana na dhambi za babake. Askari sabasita alinyanyasa na kuonea watu sana! Hiki ndicho anakilipia.Zari la mentali,
Yeah nilimlipia. Baba yake namfahamu tangu akiwa morogoro.Yani ukalipa?
Dah,mkuu you are very kind,,,watu kama ww mpo wachache mno sikuizi,,to be honest ningekua mimi ningetaka something in returnWala sikushughulika naye bcoz she is not my class. Tulikua wengi binti alitorokwa hotel. Naamini ni Malipo ya laana na dhambi za babake. Askari sabasita alinyanyasa na kuonea watu sana! Hiki ndicho anakilipia.
I see. Ila sema sometimes unakuta bili zao zinaenda mpaka laki 4 kwa jioni moja, mpaka unajiuliza kama alikuwa na COMMITTEE ama alikuwa mwenyeweKuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.
Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
Ni mtoto wake kwaniWala sikushughulika naye bcoz she is not my class. Tulikua wengi binti alitorokwa hotel. Naamini ni Malipo ya laana na dhambi za babake. Askari sabasita alinyanyasa na kuonea watu sana! Hiki ndicho anakilipia.
YeahNi mtoto wake kwani
hivi mzee wake bado yupo??Yeah nilimlipia. Baba yake namfahamu tangu akiwa morogoro.