Aunty Ezekiel anaswa tena na mume wa mtu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440

Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz', Moses Iyobo ‘Moze' kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho, lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja kimahaba eneo hilo. Aunt ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.

Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt kulikoni, alifunguka: "Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana."
 

Attachments

  • 1410854860674.jpg
    55.8 KB · Views: 2,669
Warumi katika ubora wake, Dinazarde alikuwa amekonda kwa kukosa umbea.

Umbea anaupenda vitendea kazi hana, umbea gharama.

Ahahah ahahah, eti vitendea kazi hana, vitendea kazi ndo nini tena
 
Last edited by a moderator:
Mkuu upo vizuri sana kwenye hii shughuli,you should think of having a gossip magazine,u will make money mkuu
 
Warumi katika ubora wake, Dinazarde alikuwa amekonda kwa kukosa umbea.

Umbea anaupenda vitendea kazi hana, umbea gharama.

Ilibidi Dinazarde ahamie jukwaa la siasa baada ya kukosa umbea wa kiwango kutoka kwa Warumi.
 
Last edited by a moderator:
Hawa bnngo movie na shigongo lao ni moja............ kutengeneza habari za kuuzia magazeti ya udaku na inawezekana wanalipwa na haya magazeti pendwa.

Ukiangalia utaona hili tukio kama lilipangwa na antie...mcheza shoo na mwandishi wa global (imelda) maana alikuwepo "kumsindikiza" airport..
 

Attachments

  • 1410859057356.jpg
    69.4 KB · Views: 759
  • 1410859076885.jpg
    59.8 KB · Views: 738
  • 1410859091710.jpg
    62.1 KB · Views: 716
Warumi katika ubora wake, Dinazarde alikuwa amekonda kwa kukosa umbea.

Umbea anaupenda vitendea kazi hana, umbea gharama.

Aaaa vitendea kazi vipo banaa,nimepungua kilo 30 mchezooooo
 
Last edited by a moderator:
huyo moze itakuwa anajua ku.----- au aunt kakosa bwana wa kumtoa genye
 

Global+bongo movie=mauzo ya global. Bila kutengeneza skendo za bongo movie global hawawezi kuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…