Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

Mwenzenu si yupo kibyashara zaidi na biashara bila matangazo haiendi
 
mwancheni avae apendavyo ,kwani bina adamu alizaliwa na nguo?mbona hamuendi porini kuwaambia watindiga wavae nguo asili ya mwafrika kwanza hawavai nguo nguo zimeletwa na wazungu, anaye leta hoja hapa aseme,wamasai wakipite ile kitu ikienda kushoto kulia mbona hampigi kelele, wape watu uhuru wa kuvaa ,na kama mnauchungu sana mbona kuna watu wako vijijin wanatembea nguo zimechanika na ****** yako wazi hamuende kuwapa nguo,au kungekuwa na mahali kuna nguo za bure zatolewa na kijiji au serikali kama hupendi usimwangalie
 


Huyu dada Johari naona hana skendo za kipumbavu kama hili lingine la kulia....unajua watu kama hawa inapaswa kwenye katiba tuweke kabisa,lidada likikutwa limevaa kama hili likamatwe...pumbavu!!
 
mbona nguo ya kawaida tu hiyo?

Kama ukiona hiyo nguo ni ya kawaida una mambo yafuatayo;
  1. Una matatizo ya akili kidogo,na unahitaji ushauri nasaha..
  2. Na wewe ni kati ya hawa watu na inawezekana unapenda kuvaa mavazi haya ya makahaba na wasagaji....
  3. Ni shetani nusu..ikimaanisha umeanza kufuzu mafunzo ya kishetani ya kutawala dunia kupitia uasi...
 
Wote mnaopinga hicho kivazi mie nawaona MALIMBUKENI. Hamna tatizo lolote hapo isipokua angevaa Mzungu msingesema yote hayo. Acha hewa izunguke kwa mwili kupunguza joto.
 
Mavazi si tatizo tatizo ni tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…