Aunty Ezekiel: Bongo movie hailipi, "MADANGA" ndo wanaoniweka mjini

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.

"Filamu kwa Tanzania hakuna soko, walau wanaume, si wanawake, huwezi kunilinganisha mimi na Ray… Mimi kama si kuwa mwanamke, sidhani kama leo hii bado ningekuwepo katika filamu, kwa sababu kwa kiasi kikubwa nategemea sapoti ya wadau wangu(madanga), si mauzo ya filamu," alisema.

Aunt alisema tatizo jingine katika soko la filamu nchini, ni wasanii kutopendana hali ambayo inashusha tasnia kila kukicha. Kwamba wangekuwa na mshikamano, wangeweza kufanya kitu cha kuwasaidia katika kuiboresha.

"Umoja ndiyo kila kitu hata kama tutakuwa hatuna hela, lakini tukikaa watu wengi kujadili kitu fulani, tutajua tufanye nini, hata kimawazo tu tutaendelea," alisema.
 
Walau yeye amekuwa mkweli, kama sikosei niliwahi kumsikia Owoya akisema muvi ndio zinamuweka mjini...ingawa wenye akili zetu tunajua kinachoendelea bila kujali watasema nini.

Ukweli ni kwamba msanii wa kike akitaka akae level za "bata" za kina Irene, Jacklene, Odama, Lulu, Aunty, Wema...basi lazima akubali kuwa sex slaves.
 
Kuhusu soko la filamu, nadhani tutarajie mdororo zaidi kutokana na tabia za "kitanzania" za akili mgando na fikra finyu za utendaji wa mambo..kuanzia walio na mamlaka hadi walio chini, na hii cancer ipo pia kwenye michezo mingine kama riadha, ngumi, soccer....tutabaki kusindikiza wengine mpaka hapo tutakapopata akili timamu.
 

kweli kabisa
 

Nakumbuka mwaka Jana au juzi wimbi la mastaa likiongozwa uwoya walikuwa wanajitapa kulipwa Mamilion ya pesa kwa movie moja, uwoya alisema analipwa m3,nilishangaa kwel nikasema sanaa inalipa kumbe ni uwongo

Hatusemi vibaya kuwa na madanga ila wasanii wengi wanawatumia ndivyo sivyo halafu ni wahuni sana, msanii kama ODAMA au NISHA wanajitahid sana wana kampuni zao za movie na wanajituma haswa na kazi zao zinaonekana , sasa wengine umalaya tu kila kitu wanategemea wanaume hadi kununuliwa bikini, ni aibu sana wasanii Wa kibongo ni shidaa tupu
 
Du umalaya mjini hautaisha,kweli mjini msingi kiuno.

Cheus dawa kashamwaga manyaga yeye anategemea wanaume kuendesha maisha yake dah halafu ndo kioo cha jamii na role model wa vijana Wa kesho , kazi ipo apa
 
Kwa hyo unataka useme mali Zake zote ni za kuhongwa da bac noma watu wanajua kuhonga
 

Ni waongo sana, Wakiwa Dar sidhani kama wanalipwa pesa ya kutisha, sanasana wanashiriki muvi kwa kuahidiana kuwa nao kushiriki muvi ya mwenzake

Hawa maduu wanaendesha maisha halisi kama vile wapo location wanaigiza, pesa kubwa wanayopata ni pale tu wanapoitwa mikoani, kwa kutumia mfumo wa kihuni walioutengeneza wao na wasambazaji wao, kuwa muvi haipokelewi bila sura zao kuwepo, so watengeneza muvi wa mikoani wanalazimika kuwaita na kuwalipa (sidhani kama ni zaidi ya milioni moja na nusu) na hata ukiwaita hao wanaoitwa "wenye majina" ujiandae kwa kero...utatoa pesa lakini utajuta kwa nyodo mtakazoambulia...kwa ujinga huu sidhani kama kuna future ya tasnia ya filamu Tanzania.
 

Sasa wao wakileta poz na kina inni eddo na akina omotola wafanyaje sasa? Msanii bongo movie ni mona tu wengine ni makahaba at work

Hilo suala la kuhus movie za ma underground kutokupokelewa na wasambaz lipo sana , matokeo yake kwenye cover tunawekewa mastaa akina johar na mainda ukiangalia movie wamecheza scene mbili mbili, chezea bongo movie, tutafika tu kwa hii hal
 
Kwa hyo unataka useme mali Zake zote ni za kuhongwa da bac noma watu wanajua kuhonga

Jaman aunty Wa watu kashasema ukweli wake hatak uongo mwezi mtukufu, maisha yake anategemea mabwana au unataka adanganye ndo uamini mkuu? Ukwel ndo huo aiseeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…