Aunty Ezekiel: Bora nizae tu, umri umeenda

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Siku chache baada ya kuripotiwa kuwa ni mjamzito, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameibuka na kufunguka kuwa, aachwe azae kwani umri unazidi kuyoyoma.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Aunt alisema watu wamekuwa wakizungumza sana kuhusu ujauzito wake lakini kikubwa ni kwamba ameupata akiwa na umri sahihi na wala siyo chini ya miaka 18. "Najua watu wengi wanazungumza kuhusu mimi na ujauzito wangu lakini mimi sijaona tatizo na tena siko chini ya umri wa miaka 18 sijui kama kuna tatizo lolote nikipata mtoto na hivyo kama mimba ipo watu wasubiri , " alisema Aunt ambaye amekuwa mzito kuanika umri wake hadharani.

Aunt ambaye aliolewa mwaka 2012 na Sunday Demonte anayedaiwa kusota nyuma ya nondo huko Dubai kwa msala wa madawa ya kulevya, kwa sasa anadaiwa kubanjuka kimapenzi na dansa wa Nasibu Abdul ' Diamond ' , Moze Iyobo . Hata hivyo, mimba hiyo ya Aunt haijajulikana kama ni ya Iyobo au mwanaume mwingine maana wawili hao wamekuwa wakichenga kuizungumzia.
 
Attachments

  • 1419054378716.jpg
    56.1 KB · Views: 2,450
Tatizo sio umri. .tatizo bado mke wa mtu. . Unagegedwa bila condom ..
 
Tatizo sio umri. .tatizo bado mke wa mtu. . Unagegedwa bila condom ..

hata angegegedwa na condom, bado ni mke wa mtu, yani li aunty limkaa kizinzi balaa, serikali ingeandaa kifungo kwa ajili ya wazinzi tu au kunyongwa kabisa
 
hata angegegedwa na condom, bado ni mke wa mtu, yani li aunty limkaa kizinzi balaa, serikali ingeandaa kifungo kwa ajili ya wazinzi tu au kunyongwa kabisa

hahahahahhaha my day
 
Kumbe mumewe kafungwa duuh nilikuea sifahamu too bad.
 
Mim huwa nawaza mtu akinipa huyu demu sijui nitamfanya nini! demu namkubal sema ndiyo hvyo

hata angegegedwa na condom, bado ni mke wa mtu, yani li aunty limkaa kizinzi balaa, serikali ingeandaa kifungo kwa ajili ya wazinzi tu au kunyongwa kabisa

Haha haaaa,una uhakika na wewe hautokuwepo katika listi ya kunyongwa?
 
Mim huwa nawaza mtu akinipa huyu demu sijui nitamfanya nini! demu namkubal sema ndiyo hvyo

aunty mzuri ila kakomaa kama magimbi ya futari mie hapana kwa kweli
 
Yani kamuacha mume wake anaanza kuruka na madensa jamaniii?sasa huyo densa aaahhh basi tu ngoja nipige kimya
 
Yani kamuacha mume wake anaanza kuruka na madensa jamaniii?sasa huyo densa aaahhh basi tu ngoja nipige kimya

tatizo mb*o haina mbwembwe wanaume wote wana mboo sawa sema size na rangi ndo tofauti, huenda ya moze iyobo imemnogea
 
Good for her kila laheri, ila si hajaachana na mme duh haya....
 
Ukisha kaa mbele ya kamera na kuambiwa ACTION......CUT....basi unakuwa mzuri,kumbe wanawake wote wazuri mmmh ila aunt mikono imekomaa lakini anakaza tu
 
hata angegegedwa na condom, bado ni mke wa mtu, yani li aunty limkaa kizinzi balaa, serikali ingeandaa kifungo kwa ajili ya wazinzi tu au kunyongwa kabisa

Warumi you have made my day...jamani....eti kifungo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…