Aunty Ezekiel: Mimi sina gundu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga , staa wa Bongo Movies , Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.

Baada ya maneno hayo kutua katika dawati la Ijumaa Wikienda, wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo alitiririka : "Sina gundu na wanaume jamani , uzuri ni kwamba kila niliyeishi naye kulikuwa na sababu za msingi za kuachana. Siyo Jack Pemba wala Hartmann ( Mbilinyi ) .

"Watu wanazungumza tu bila kujua ukweli, hata kwa Sunday Demonte ( mumewe wa sasa ) , yupo vizuri na hajafungwa kama wanavyosema ," alisema Aunt. Miongoni mwa wanaume walioogelea katika penzi la Aunt kisha kumwagana kwa sababu tofuati ni pamoja na Mwilu Mwilola ' Silvanus' , Hartman na Jack Pemba.
 
ana gundu bwana

asitupigie makerere apa arud uko dubai kwa mumewe kama kweli ndoa ipo, si alisemaga ataenda kumalizia mfungo kwa mumewe kiko wapi sasa, kutwa kushona sare na mama ubaya na kucheza vigodor
 
Kwikwikwiwkiwkwiiii.
 
asitupigie makerere apa arud uko dubai kwa mumewe kama kweli ndoa ipo, si alisemaga ataenda kumalizia mfungo kwa mumewe kiko wapi sasa, kutwa kushona sare na mama ubaya na kucheza vigodor

Duh! ...we ni ke au me?
 
Ok hana gundu tumekubali lakini kwa hiyo orodha ni kundi la malaya!
 
Gundu analo tu kwa wanaume hao inamaana wote wanamatatizo?
 
asitupigie makerere apa arud uko dubai kwa mumewe kama kweli ndoa ipo, si alisemaga ataenda kumalizia mfungo kwa mumewe kiko wapi sasa, kutwa kushona sare na mama ubaya na kucheza vigodor
hana dubai wala jeddah kashaligalambua yule
 
asitupigie makerere apa arud uko dubai kwa mumewe kama kweli ndoa ipo, si alisemaga ataenda kumalizia mfungo kwa mumewe kiko wapi sasa, kutwa kushona sare na mama ubaya na kucheza vigodor

daah hivi kumbe huyo mumewe haishi bongo eehe
 
Mumewe angekuwepo bongo unadhan angefanya haya? Inasemekana kasomekwa lupango sema habar hazina uhakika
 
duh hiyo picha haree, hivi mtu na akili zako timamu unapiga picha kama hii, daah! kweli kuishi mjini akili
 
Ndoa yake ndo long distance marriage toka mwanzo
 
duh hiyo picha haree, hivi mtu na akili zako timamu unapiga picha kama hii, daah! kweli kuishi mjini akili

Boss wake mama ubaya kashamanua na yeye lazima ajitie uchizi chezea kibarua wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…