Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Mcheza filamu wa Bongo, Aunt Ezekiel, ambaye amekumbwa na kashfa ya kuwatumia email za mapenzi wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, ameibuka na kuelezea ukweli kuhusu sakata la email hizo katika mahojiano maalum aliyoyafanya na GPtz.com cheki video umsikie mwenyewe.
Last edited by a moderator: