Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

ni mtoto wa waziri aliyeenda nae marekani,anasema hivyo kuficha ukweli ili ndoa ya waziri huyo anayehusika na hifadhi ya fisi na mbwa mwitu isivunjike

Ina maana walikubaliana na huyo dancer kuwa waseme mtoto ni wao ili kisinuke kwenye ndoa ya mhusika au dancer amesingiziwa tu?
 
Dancer ni "decoy".....ofcoz MKUBWA asingeweza kuweka decoy ambalo ni tishio....dancer akiagwa "naenda nje kutangaza utalii" anasema "ok baby nakusubiri"
 
Hajielewi!!! Hiyo sasa si adultery ya wazi wazi tena ni ya hali ya juj hadi wamepata na certificate
 

Ananuka papuch
 
Ila ukisoma between the line utaelewa uzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…