Aunty Ezekiel: Wema hana msaada wowote kwangu

Huyo mumewe uko dubai nasikia ni chakula ya watu hana lolote, aunty anaenda kulishwa bata kwa pesa za mume wa mume wake

Mi nilimuona kwenye picha mtoto w kiume kalegea nkajua huyu not reachable kabisa,ndio mana huyo aunt kutwa kudandia dushee.
Mara kapigwa chupa cjui kaiba mcheza shoo c aje kwangu afaidi vinono kwa mkataba
 
Ni kweli jamani huyo mume wa Cheusi ni chakula ya watu hapa Umangani..anashinduliwa na kijana kibabu cha kibedui kinaitwa Al-Yousufy
 
Hv kwanza ndoa yake hyo aunty ipo kweli? Kana kweli bado ipo basi huyo mumewe ana roho cjapata kuona

Mume yupi c unasikia mumewe low betri kaolewa dubai na al-yousuf kwahiyo kaolewa n shoga hamna wivu hapo
 
Ni kweli jamani huyo mume wa Cheusi ni chakula ya watu hapa Umangani..anashinduliwa na kijana kibabu cha kibedui kinaitwa Al-Yousufy

Ebu funguka binamu, hadi nimebadilisha mkao, naona upele umempata mkunaji, mimi hii issue nilisikia mda tu, nikajua ni fitna za wachawi na wivu, ila kuna jamaa mmoja mshkaji anaishi Dubai anamjua mshkaj wa aunty vizur ndo akatuma mkanda nasikia anafanywa na kibabu gani sijui cha kiarabu ila ana pesa sana ndo zinazowaweka mujini demonte na mke wake
 

Shuzi limepata mjambaji.
 
aunt ule mgahawa uliishia wapi?

Kumbe alikuwa na mgahawa maana nilijua ana kibar chake alichokifungua barabara ile ya biafra upande wa block 41 kuelekea ada estate kikakafa kile kifo cha sudden death.
 
Last edited by a moderator:

...ha ah ha binamuuuuu naona umefikishwa hapo!
 
warumi

Du yaani ukidate wanaume wa tandale Hilo ndio tatizo hata akikukununulia juice atatangaza IS aliyegundua IS mungu amuweke du
 
Last edited by a moderator:
Jamaa yuko ndani abudhabi ananyea debe hatoki Leo wala kesho jipondee raha aunty mradi umeonja dubai ukafikishiwa deira

Nini kimemkuta mpka yuko jela pia huyo aunt kuolewa na lowbetri ili aende abudhabi
 
hahaha kweli aunty umenena kwani wema ameshikwa kamba hana maamuzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…