Aunty Ezekiel: Wema hana msaada wowote kwangu

Acha utani shost, usiambie kale katoto ka dubai kalikomuoa mwaka juzi kamefungwa?

Kale shughuli zake hapa dubei tunakajua kalikuwa kasambazaji wa unga wa ngano tulishangaa aunty kuja kuolewa nae hata makazi Maalum kalikuwa hakana siku zikikubali ndio kanafanya matanuzi tatizo ndugu zetu wa kibongo hawaulizi wanavamia tu wanajua kila aliyekuwa dubai mambo super wengine watembeza wageni tu na maisha yao wengi ni ya kukimbia kutokana na viza
 
Kweli shosti, ndio mana Dubai haendi tena, hashuo na majisifu zimemtokea puani....kabaki Leo kwa Wema kesho kwa shari... Hana makazi.....


"The truth is hard to swallow when you're choking on your pride."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…