Aunty, Kajala wamsengenya Wema

Aunty, Kajala wamsengenya Wema

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MASTAA wa filamu Bongo , Aunt Ezekiel na Kajala Masanja , juzikati walikutana na kutumia muda wa takriban nusu saa (dakika 30 ) kumsengenya aliyekuwa shosti wao , Wema Sepetu .

Tukio hilo lilijiri hivi karibuni kwenye Bustani za Ndoto Polepole zilizopo Bagamoyo , ambapo mastaa kibao walihudhuria sherehe ya Baby Shower ya Aunt , iliyokuwa imesheheni vituko kibao huku gumzo likiwa ni kutokuwepo kwa Wema .
Awali paparazi wetu aliwashuhudia wawili hao wakimzungumzia Wema tena huku watu wengine wakisikia , kubwa likiwa kumshangaa kwa namna anavyotaka kila anayekuwa rafiki yake , awe adui wa maadui zake.Mjadala huo ulikuwa mkubwa , ambapo Kajala kuna wakati alimuuliza Aunt sababu ya Wema kutokuwepo eneo hilo ndipo alipompa mkasa mzima .

Mazungumzo hayo ya Kajala na Aunt yaliwafanya hata waalikwa wengine kumteta Wema , wakidai kuwa anatakiwa kujiangalia kwani ni staa ambaye hadumu na marafiki zake na mara nyingi wakiachana, huachana kwa ubaya .Ijumaa lilijaribu kuingilia mazungumzia hayo ili kujua kisa cha wao kutumia muda mwingi kumjadili Wema lakini wote waliishia kuguna kisha kuendelea na sherehe hiyo.
 

Attachments

  • 1431679999844.jpg
    1431679999844.jpg
    49.3 KB · Views: 1,317
Globa habari zao za kutunga na kuunga

Anyway Imelda si alikuwepo kwwnye shower? Hakurekodi akarusha maongezi yao???
 
Cha umbea tena asiwepo? Naona aliwasikia wakat wanapiga umbea

Itakua aliwasikia

Ila huyo imelda wanamuitaga wenyewe kwa sababu wanapenda skendo za kuandikwa kwa shigongo

Sitashangaa kama global wanawakatia mpunga
 
Itakua aliwasikia

Ila huyo imelda wanamuitaga wenyewe kwa sababu wanapenda skendo za kuandikwa kwa shigongo

Sitashangaa kama global wanawakatia mpunga

Kuna tukio la mastaa imelda akakosekana? Wataandikwaje sasa?
 
Kuna tukio la mastaa imelda akakosekana? Wataandikwaje sasa?

Hahah hawakosekanagi hata

Niliwahi pia kumuona imelda kwenye in my shoes

Nikagundua ni kwa nini wema daily yupo kwenye magazeti ya shigongo

Hawa bongo movie wanamuita wenyewe kwa kupenda kuwekwa front pages
 
Malaya wawli wanamtukana malaya mmoja ambae smewahi kuwasaidia:-*
 
Kumbe na wew some time una point eee..
Hongera leo umeongea point sana


Si nisikilize udaku jamani kama ulikuwepooo kweli

Usisahau kuwa shabiki facts ndio mwendo...nimesimaili
 
Back
Top Bottom