Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Umekuwa mrefu tangu mwanadada Aunty Lulu kumulikwa na makazeti ya udaku. Tukio la mwisho ni lile la kuwa Aunty Lulu amepachikwa mimba na ya miezi kadhaa. Sasa ameingia tena katika mwangaza wa vyombo vya udaku na round hii amenaswa live akiwa katika malovidovi.
Na nani?
Staa huyu amenaswa live na mchezaji mkongwe wa zamani wa soka kwa jina Amani Simba. Wawili hao walibambwa kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar wakipunga upepo na walipowaona mapaparazi walishituka na kutaka kujificha.
Akizungumzia uhusiano wake na Amani, Aunty Lulu alisema: "Jamani acheni udaku wenu, siku hizi nimetulia na huyu ndiye mchumba wangu, nampenda sana na yeye hivyohivyo."
Hata hivyo, chanzo makini kilicho karibu na wawili hao kimedai kwamba kwa sasa wanaishi pamoja.