Aunty Lulu Anaswa Katika Tendo La Kimadavidavi

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Umekuwa mrefu tangu mwanadada Aunty Lulu kumulikwa na makazeti ya udaku. Tukio la mwisho ni lile la kuwa Aunty Lulu amepachikwa mimba na ya miezi kadhaa. Sasa ameingia tena katika mwangaza wa vyombo vya udaku na round hii amenaswa live akiwa katika malovidovi.

Na nani?

Staa huyu amenaswa live na mchezaji mkongwe wa zamani wa soka kwa jina Amani Simba. Wawili hao walibambwa kwenye ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar wakipunga upepo na walipowaona mapaparazi walishituka na kutaka kujificha.

Akizungumzia uhusiano wake na Amani, Aunty Lulu alisema: "Jamani acheni udaku wenu, siku hizi nimetulia na huyu ndiye mchumba wangu, nampenda sana na yeye hivyohivyo."

Hata hivyo, chanzo makini kilicho karibu na wawili hao kimedai kwamba kwa sasa wanaishi pamoja.
 
wenzako wanahesabiwa noti kwa hii kazi! sasa sijui wewe haujashtuka?
 
Huyu mbibi anaejiita aunt lulu huwa ni nani hapa bongo
 
Huyu mbibi anaejiita aunt lulu huwa ni nani hapa bongo

Ni kazi bongo lila mtu star. Alianzia kutangaza kipindi cha watoto kama sijasahau ni channel 10.
Akachukua taji la kimwana manywele.
Akaingia kuigiza japo sijaona alichoigiza.

Pia na kujiuza humohumo ni kama ana laana fulani, mambo anayofanya anayajua mwenyewe na akili yake. Hope kiufupi hivi umemjua kidogo.
 

namuonaga tu kwenye magazeti ya udaku kweli huyu muuza kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…