Australia: Diamond ashinda tuzo za RadioAfroAustralia - 2016

Hiyo account yenyewe nikiitazama vizuri naiona imepostiwa kutokea madale
 
aaaaaaaah! hizi sasa ni sifa mkuu...!
Naomba nimwage povu langu sasa...! hii imekuwa too much..


kila tuzo.. Diamond, hatufanya hivi..Diamonds, hatupumuiii.. hivi si ndio huyo huyo kamepiga HatTrick na Assists mbili leo..Halafu tena Leo hiihii tuzo nyingine..Ina maana hakuna wasanii wengine au ikoje yaaani.. mbona mnampendelea tu Diamond.. au hili jukwaa ni la Diamond, maana kila siku lazima azungumziwe Diamond.. Kiukweli inakera sana, inatakiwa tufike mahala tuwapost hata wasanii wengine.. Juzi juzi tu hapa kila nikiingia humu nakutana na Picha za shoo za Diamond, ina maana Hakuna wasanii wengine ambao wanashoo zao za kufunga mwaka? na kama wanashoo zao mbona hazipostiwi? ila Diamond tu!
Hebu tuBalance mizani basi jamani, hii inaleta picha mbaya.. kama ni hivyo basi Ifahamike TZ kuna msanii mmoja tu! wengine ni waimbaji.. eeeeh! maana hizi ni dharau sasa..
kila siku Diamond Diamond.. Tumemchoookaaaaaaaaa..!!
[emoji2]
USIMFANANISHE DIAMOND NA VITU VYA KIJINGA...
 
hizi habari kama zinakuudhi we vaa tinted tuu maana hamna namna sasa
 
Sawa omary nyembo jitaidi na Wewe uta postiwa mpaka utachoka[emoji13] [emoji23]
 
Nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…