Australia yaandika upya historia yao, Waingereza ni wavamizi na sio wavumbuzi

Australia yaandika upya historia yao, Waingereza ni wavamizi na sio wavumbuzi

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085
Kuna wimbi la kutaka kuandika upya historia ya Australia kwani iliyopo inapotosha. Wanafunzi wamekuwa wakihamasishwa kukwepa baadhi ya maneno yaliyopo kwenye historia ya sasa.

Wanatakiwa kusema wakoloni au wavamizi badala ya wakazi wapya au wagunduzi na wavumbuzi. Kabila la Aborigines, wakazi wa awali hawakupewanafasi husika katika historia ya sasa. Waliishi hapo kwa makabila mbalimbali na hivyo kuijua nchi hiyo kabla wa wageni.

Captain James Cook alifika katika pwani ya Australia 1770 na sasa wanataka aandikwe kama mvamizi na sio mvumbuzi.

_88978857_603104d3-a5f3-46df-9486-ac81a5d807db.jpg

_88993708_gettyimages-3295619.jpg

CaptionA print from a painting showing Captain James Cook (1728 - 1779) taking possession of New South Wales
A top Australian university has rejected claims it is trying to rewrite the nation's colonial history.

"It uses a more appropriate, less appropriate format," a UNSW spokesperson said in a statement to the BBC.

"The guide suggests referring to Captain [James] Cook as the first Englishman to map the continent's East Coast is 'more appropriate' than referring to his 'discovery' of Australia."

Captain James Cook claimed possession of the east coast of what is now Australia on behalf of the British crown in 1770, following more than 160 years of mapping and exploration mainly by the Dutch.

There were already more than 250 tribes of Aboriginal people living on the land, each with their own language, customs and territories.

Then began a process of colonisation and land confiscation which denied Aboriginal rights to land, citizenship and equal status - rights which in many cases were only finally bestowed in recent decades.

Language 'not neutral'
The authors of the terminology guide explain their approach at the start, saying that while all staff and students rely heavily upon language, it "is also a vehicle for the expression of discrimination and prejudice... [and] cannot be regarded as a neutral or unproblematic medium".

In what follows, students are instructed to use the terms "Indigenous Australian people" or "Aboriginal peoples" in place of "Aborigines" or "the Aboriginal people", to avoid implying that all Indigenous Australians are the same.

The guide also lists words such as "primitive", "simple", "native" and "prehistoric" as less appropriate than "complex and diverse societies".

Use of a term such as "nomadic" is discouraged on the grounds that it implies Indigenous Australians were not permanently settled, supporting the doctrine of terra nullius that English settlers used to justify occupying land in Australia.

The guidelines have sparked outrage in Australia's tabloid Daily Telegraph newspaper and on talkback radio.

Conservative radio host Alan Jones said: "Don't try and restrict the thinking of university students by some so-called diversity toolkit on Indigenous terminology rubbish which dictates game, set and match that Cook's arrival in New South Wales must be referred to as an invasion."

"One student might well argue in favour of invasion and another in favour of settlement. The argument should be judged on its quality. But prejudice and political correctness are anathema to genuine scholarship and learning."

Chanzo: BBC
 
hata hapa kwetu lazima history iandikwe upya ,mambo mengi yamekuwa yauzushi zaidi ya ukweli,mfano mzungu kuvumbua ziwa victory na mlima kilimanjaro,wote wavamizi na waongo tu,wasukuma na wachaga walikuwa wapi miaka hiyo yeye anakatiza msituni kwenda kuvumbua?

picha inaonyesha alikuta wenyeji wakamkaribisha kabisa ,aseme kuwa yeye ndio alikuwa wa kwanza kwenda kuwapasha wazungu wenzake sio kama kaja kuvumbua,
 
Yes
 
Labda Hiyo historia iandokwe na aboriginal maana wao ndio kwenye nchi yao, wazungu kuandika historia ya kujikataa wenyewe itakua ni kichekesho.
 
Kuna ukweli katika hili unalolisema
 
hapo namkumbuka bunning Spear na wimbo wake akimsema Christopher colombo who discover jamaika
 
Labda Hiyo historia iandokwe na aboriginal maana wao ndio kwenye nchi yao, wazungu kuandika historia ya kujikataa wenyewe itakua ni kichekesho.

Kicheche kinalinda banda la kuku? or A tiger watching a chiken house?
 
Back
Top Bottom