Australia yaidhinisha marufuku ya Watoto chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Bunge limeidhinisha zuio la Watoto wenye chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya Kijamii kwa Kura 103 dhidi ya 13, ikiwa ni uamuzi unaotajwa kuwa mgumu zaidi na ulioungwa mkono na Wananchi waliodai Mitandao imekuwa ikiathiri Afya za Kimwili na Akili kwa Watoto.

Uamuzi wa Serikali umeitaka Mitandao ya Kijamii ya Facebook, X, Instagram, Tiktok, Snapchat na Reddit kuhakikisha inatafuta kila namna ya kutekeleza zuio hilo kwa Watoto na kufungia akaunti za wenye umri huo, vinginevyo itakumbana na faini ya Tsh. Bilioni 87.08.

Australia passes landmark social media ban for children under 16

The ban, among the toughest in the world, has broad public support but has been criticized by experts who say it could have unintended negative consequences.

Supporters of the ban have cited the impact of excessive social media use on children’s physical and mental health.

Australian lawmakers on Thursday approved a landmark ban on social media for children under 16, in some of the world’s toughest such controls.

The ban, which aims to address the impact of excessive social media use on children’s physical and mental health, affects social media platforms including X, Facebook, Instagram, TikTok, Snapchat and Reddit, but not YouTube.

The platforms, which bear sole responsibility for enforcement, have one year to figure out how to implement the age limit, which is the highest set by any country. If there are systemic failures to keep children from having accounts, the platforms are liable for fines of up to 50 million Australian dollars ($33 million).

Senators debated the legislation late into the night on the last day of their parliamentary session, which Prime Minister Anthony Albanese’s center-left Labor government had targeted as the deadline for it to pass. The bill, which is also largely supported by the opposition Liberal party, passed the Australian House of Representatives on Wednesday by a vote of 102 to 13.

Supporters of the ban have cited the effect of harmful depictions of body image on girls and the effect of misogynistic content on boys. Its passage comes after a series of Australian teenagers died by suicide over what their families said was online bullying.

“The basis for this is that there is a feeling amongst the majority of Australians that social media does more harm than good,” said Rob Nicholls, a senior research associate in the Department of Media and Communication at the University of Sydney.

A YouGov poll released Tuesday found that 77% of Australians support the ban, up from 61% in August.

Other countries have tried to impose limits on social media for children, including the United States, which requires technology companies to obtain parental consent to collect data from children under 13. But the Australian proposal goes further, with no exemptions for parental consent or pre-existing accounts.

Opponents have criticized the Australian ban as too blunt an instrument and said its passage was too rushed.

CNBC
 
Naona TikTok itapoteza wateja sana, lakini hiyo Sheria haitekelezeki sijui watatumia njia gani kuenforce?!
 
Kule kwingine wameidhinisha umri wa kuolewa uwe miaka 9..!
Kule kwa wafuasi wa Allah? Nna watoto wangu mapacha wa 2012 niki watathimini eti waolewe at that age nashindwa kabsa kuelewa wale waarabu wa Iraq wana kinyesi cha mnyama gani ndani ya fuvu.
 
Umri wa kuolewa au kuoa ni suala linalobadilika kulingana na jamii na mazingira. Suala zima la Adulthood limechukua sura tofauti zama hizi. Ukweli ni kwamba mpaka karne ya 20 jamii karibu zote za binadamu zilitambua kuwa utu uzima unaanza na baleghe au kuvunja ungo. Hata "teenage" ni invention ya juzi tu baada ya mapinduzi ya viwanda.

Na pia kama nilivyosema, umri hasa wa kuoa na kuolewa inategemea na jamii na jamii mpaka sasa. Namna watu wanavyolelewa na kukua ni tofauti. Kuna baadhi ya jamii na mazingira watu wanakuwa matured mapema kiakili wakiwa wana umri mdogo, vijana wa kiume na wa kike wanapewa majukumu na kuyabeba wakiwa na umri mdogo, hili lilikuwepo hasa zamani. Watoto wa kiume utakuta wana miaka 12 na tayari wanaweza kufanya biashara za wazazi, wanaweza kutafuta maisha, wa kike nao kadhalika wanaweza kubeba majukumu wakiwa na umri mdogo, kulingana na mazingira yao na namna jamii zao zilivyowalea.

Kuanzia mapinduzi ya viwanda, mtazamo wa baadhi ya jamii kuhusu "utu uzima" ukaanza kubadilika. Tafsiri ya mtoto ikaanza kubadilika na kulingana na mabadiliko katika baadhi ya mazingira kuna jamii zikaanza kuusogeza mbele umri wa utu uzima, mpaka miaka 18 na zaidi ikaonekana ni mtoto, umri wa utoto ukarefushwa. Na hata kuwa matured kiakili wengi wanachelewa hata baada ya umri wao kuwa mkubwa. Kwa sababu kuna namna amelelewa mpaka anafikia miaka 20 na hata zaidi inamfanya anakuwa vile tofauti na watu walivyolelewa zamani.

Lakini sio kila jamii imebadilika katika kulea watu wake. Jinsi baadhi ya watu wanavyolea watoto katika jamii zao ni tofauti na sisi tulivyolelewa au wewe unavyolea wanao. Ndio maana tumefika miaka 12 tuna akili za kitoto bado na wala hatuna majukumu yoyote yale. Katika jamii za sasa hivi nyingi aliyefika miaka 18 bado yupo shule na hana majukumu yoyote. Umri wa kupata majukumu umesogezwa mbele tofauti na zamani.

Lakini licha ya hivyo, bado umri wa kuoa au kuolewa sio mmoja kwa jamii zote za binadamu, unatofautiana, kulingana na desturi, namna watu wanavyolelewa na jamii na bila kusahau mental maturity ambayo inaathiriwa na jamii pia inayomlea mtu.

Mtu anaweza kuwatukana tu waarabu kwa sababu ya chuki (hasa ya kidini) lakini anawaonea tu. Jamii zote za binadamu mpaka karne ya 20 tu hapo kama nilivyosema awali zilitambua utu uzima unaanza wakati wa baleghe/kuvunja ungo na umri wa kuoa na kuolewa ulikuwa unatofautiana. Wazungu kwao walikuwa wanaozesha mpaka binti ana miaka 6 na hili lilikuwa ni fahari hasa kwa familia za kifalme au za kitajiri. Sisi waafrika sihitaji hata kutoa maelezo na jamii zengine.

Na mpaka sasa baada ya mapinduzi ya viwanda bado hakuna makubaliano kwa jamii zote za binadamu kuhusu umri rasmi wa kuoa/kuolewa. Japokuwa nchi nyingi zimeweka kuanzia miaka 18.

Na kuwekwa umri wa kuoa/kuolewa miaka kuanzia fulani haimaanishi kuwa ni lazima aliyefika umri huo aoe au kuolewa. Kuna watu anafika miaka 30 na ana akili hazijakomaa, na mwengine miaka 15 kashakomaa kiakili, hili huathiriwa na mazingira na jamii husika, namna watu wanavyolelewa na sababu nyenginezo na hili hubadilika badilika.

Hivyo ukisema "kule kwa wafuasi wa Allah" ukiwalenga waislam tu unakuwa unaandika kwa chuki na ujinga.

Soma hapo chini
 
Attachments

Umeandika Maelezo mengi ili kutetea Ujinga na upumbavu wa waarabu ulio Asisiwa na bwana Muddy, kwahiyo kama Zamani watu walikuwa wanatenda matendo ya kijinga bhasi Na Sisi tuendelee kutenda huo ujinga mpaka Leo

Kumuoa Binti wa miaka Hicho ni kitendo cha ukosefu wa Akili , Yaani Binti wa miaka Tisa like seriously!? Imagine Mtoto wako wa kike Aolewe Akiwa na miaka Tisa wewe Una kubali!? Acha kuruka ruka kubali Tu kwamba muddy alikuwa ni Mtu wa hovyo ,

Muddy alioa mpaka ex wife wa Mtoto wake wa kufikia ,(Eti Mungu kamuotesha Wtf 😁🤣🤣)
 
Muddy alioa mpaka ex wife wa Mtoto wake wa kufikia ,(Eti Mungu kamuotesha Wtf
Huyo bwege ni kiazi square, hv kwel mtu mzima na akili zako unatetea mtoto wa miaka 9 kubebeshwa mimba, hv hata kujifungua itakuweje,? Hz dini na madhehebu shida sana,
 
Nimekuelewa
 
Maelezo yako ni mazim
Kule kwa wafuasi wa Allah? Nna watoto wangu mapacha wa 2012 niki watathimini eti waolewe at that age nashindwa kabsa kuelewa wale waarabu wa Iraq wana kinyesi cha mnyama gani ndani ya fuvu.
Uarabu na dini ya Kiislamu ni vitu viwili tofauti sana naomba utofautishe hapo dini haisiki ni maamuzi ya mtu ama watu fulani kutaka jambo ama mambo yao yawe wanavyo taka nasio dini. Kuoza mtoto mdogo haina uhusiano wowote na dini ya kiislamu.
 
Australia kwa maauzi wanayo fanya nakubaliana nao kabisa ni maamuzi mazuri na ya busara sana wameona mitandao ina athari gani kwa vijana wadogo ndio maana wameamua kupitisha hiyo sheria. Watoto wengi siku hizi muda mwingi wanautumia kwenye simu na ndio rahisi kwa wale wachache wajinga wanatumia mitandano vibaya kuumiza wengine na madhara yake ni dhahiri yanaonekana waziwazi hata huku kwetu. Uzuri wa Australia wanajqli kila raia wa nchi yake ndio maana sheeia kama hizo zinapitishwa na zitakuwa implement kwa wakati na zitafanya kazi. Watoto wanakuwa affected sana na simu na wana madhara ya afya yanakili na wanajaribu kujiua sana na wengine wanakufa na wale wengine wanao pata msaada wa ushauri nasaha wanasaidika.
Mimi binafsi nimekutana na hizi cases za vijana kujiua kwa mambo madogo madogo ya utani wa kijinga wa mitandaoni unapata mtoto amepost picha yake na akipata comment mbaya kupitia hiyo picha atakuwa affected sana na hata weza hata kutoka nje kwenda shule wala sehemu yoyote nankujaribu kujiua just like dhati nanyote wlyanasababishwa watoto hawa muda mwinhi wanatumia kwenye mitandao hakunanmuda hata wakutoka nje nankuongea na mzazi ama mlezi kitu kingine ama kueleza kilichotokea na yeye anachukua wele walio mwambia labda anasura mbaya ama amevaa vibaya ndio wakweli na anachukua maamuzi yasiyo ya busara na kujidhuru. Ila pamoja na hii mitandao wazazi tunakazi kubwa ya kufatilia menendo ya watoto wetu ya kila siku namkujua vile wanaendelea nankuwezabkuwapa msaada wa haraka pale unapohitajika kabla madhara makubwa hayajatokea.
 
Umri wa kuolewa au kuoa ni suala linalobadilika kulingana na jamii na mazingira. Suala zima la Adulthood limechukua sura tofauti zama hizi. Ukweli ni kwamba mpaka karne ya 20 jamii karibu zote za binadamu zilitambua kuwa utu uzima unaanza na baleghe au kuvunja ungo. Hata "teenage" ni invention ya juzi tu baada ya mapinduzi ya viwanda.

Na pia kama nilivyosema, umri hasa wa kuoa na kuolewa inategemea na jamii na jamii mpaka sasa. Namna watu wanavyolelewa na kukua ni tofauti. Kuna baadhi ya jamii na mazingira watu wanakuwa matured mapema kiakili wakiwa wana umri mdogo, vijana wa kiume na wa kike wanapewa majukumu na kuyabeba wakiwa na umri mdogo, hili lilikuwepo hasa zamani. Watoto wa kiume utakuta wana miaka 12 na tayari wanaweza kufanya biashara za wazazi, wanaweza kutafuta maisha, wa kike nao kadhalika wanaweza kubeba majukumu wakiwa na umri mdogo, kulingana na mazingira yao na namna jamii zao zilivyowalea.

Kuanzia mapinduzi ya viwanda, mtazamo wa baadhi ya jamii kuhusu "utu uzima" ukaanza kubadilika. Tafsiri ya mtoto ikaanza kubadilika na kulingana na mabadiliko katika baadhi ya mazingira kuna jamii zikaanza kuusogeza mbele umri wa utu uzima, mpaka miaka 18 na zaidi ikaonekana ni mtoto, umri wa utoto ukarefushwa. Na hata kuwa matured kiakili wengi wanachelewa hata baada ya umri wao kuwa mkubwa. Kwa sababu kuna namna amelelewa mpaka anafikia miaka 20 na hata zaidi inamfanya anakuwa vile tofauti na watu walivyolelewa zamani.

Lakini sio kila jamii imebadilika katika kulea watu wake. Jinsi baadhi ya watu wanavyolea watoto katika jamii zao ni tofauti na sisi tulivyolelewa au wewe unavyolea wanao. Ndio maana tumefika miaka 12 tuna akili za kitoto bado na wala hatuna majukumu yoyote yale. Katika jamii za sasa hivi nyingi aliyefika miaka 18 bado yupo shule na hana majukumu yoyote. Umri wa kupata majukumu umesogezwa mbele tofauti na zamani.

Lakini licha ya hivyo, bado umri wa kuoa au kuolewa sio mmoja kwa jamii zote za binadamu, unatofautiana, kulingana na desturi, namna watu wanavyolelewa na jamii na bila kusahau mental maturity ambayo inaathiriwa na jamii pia inayomlea mtu.

Mtu anaweza kuwatukana tu waarabu kwa sababu ya chuki (hasa ya kidini) lakini anawaonea tu. Jamii zote za binadamu mpaka karne ya 20 tu hapo kama nilivyosema awali zilitambua utu uzima unaanza wakati wa baleghe/kuvunja ungo na umri wa kuoa na kuolewa ulikuwa unatofautiana. Wazungu kwao walikuwa wanaozesha mpaka binti ana miaka 6 na hili lilikuwa ni fahari hasa kwa familia za kifalme au za kitajiri. Sisi waafrika sihitaji hata kutoa maelezo na jamii zengine.

Na mpaka sasa baada ya mapinduzi ya viwanda bado hakuna makubaliano kwa jamii zote za binadamu kuhusu umri rasmi wa kuoa/kuolewa. Japokuwa nchi nyingi zimeweka kuanzia miaka 18.

Na kuwekwa umri wa kuoa/kuolewa miaka kuanzia fulani haimaanishi kuwa ni lazima aliyefika umri huo aoe au kuolewa. Kuna watu anafika miaka 30 na ana akili hazijakomaa, na mwengine miaka 15 kashakomaa kiakili, hili huathiriwa na mazingira na jamii husika, namna watu wanavyolelewa na sababu nyenginezo na hili hubadilika badilika.

Hivyo ukisema "kule kwa wafuasi wa Allah" ukiwalenga waislam tu unakuwa unaandika kwa chuki na ujinga.

Soma hapo chini
Hakuan ahaja ya kuweka maelezo marefu, historia na tamaduni za watu.
Mtoto kuolewa akiwa chini ya miaka 20 ni aina falani ya upumbavu wa mwaisho hapa duniani.
Kwamba kama Allah amerehusu,mtume ameruhusu, dini imeruhusu hawa wote ni hawana akili. Narudia tena HAWANA AKILI!
 
Nimekuelewa
Maelezo yako ni mazuri kabisa ila kwa kitendo cha kupitisha kuoa/ kuolewa kuanzia miaka 9 sio jambo la busara kabisa kwani huo umri ni mtoto mdogo sana kimwili nan hata kiakili bado anahitaji malezi ya mzazi ya kulindwa na kupatiwa ushauri wabmaisha na kupatiwa haki zake za msingi kama mtoto ikiwemo: elimu, mavazi na malazi.
Mtoto wa miaka 9 anaweza kufanya nini kwa kizazi hiki cha sasa hao watu wazima wengine wenywe maisha yanawashinda itakua watoto kweli huu ni ukandamizaji wa hali ya juu na unyimaji wa haki za haki za watoto hadharani. Kwa mtoto wa kiume ina madhara ila kwa mtoto wa kike ina madhara makubwa sana na ndio wanaoteseka nankukandamizwa kabisa. Mtoto wa miaka tisa kuoa sio rahisi kwani huyu mtoto hata kubalehe atakuwa bado na atakuwa baba wa aina gani hana elimu, hana uwezo wa kimaisha wala uwezo wa kulea mke wala mtoto yeye mwenywe ni mtoto.
Naposema inakandamiza watoto wa kike kwa sababu wao ndio wana lazimishwa kuolewa kwenye umri mdogo, na watu wazima kuwaliko na kuharibu maisha yao. Mtoto yule anae olewa mdogo hajakua kiakili wala kimwili, anaenda kuingiliwa kimwili nanmtu mzima ni mateso na anapatiwa maumivu makubwa na madhara ya kiafya na kiakili. Mtoto wa miaka tisa bado mwiliwake haujakomaa hata madaktari wakiulizwa waelezee hapa watoto wwngi wanao pata mimba wakia na umei mdogo huwa wakati wa kuzaa wanapata madhara mengi na ndio wanashauriwa kutokuzaa wakiwa nanumri mdogo. Bado kwa upande wa malezi yeye mwenyewe ni mtoto anapewq jukumu la kulea mtoto mwingine kweli hiyo ni ukoloni nanugandamizaji wa hali ya juu. Mimi hua naona siku zote mwanamke huwa anauwezo mkubwa sana kiakili na kimaisha /kijamii ndio unapata anaweza kupitia changamoto nyingi nankufanikiwa katika maisha mtoto mdogo wakike anapewqbmajukumu makubwa yankuanzisha familia nanutakuta alie muoa ni mwanaume mkubwa na anamchukukia yule mtoto wakike kama mkubwa mwezie nankugawana majukumu yankulea jamii na anafanikiwa. Je huyu mroro wa kike angepewa nafasinyankuenda shule kusoma na kujiendelwza unafikiri jamii ingekuwa mbali kiasi gani pata picha hii kwa upande wangu hawa wanaume wanaopitisha hizi sheria nasema wanaume kwa nini sidhani mwanamke mwenyenakili na amepewa uwezo wa kuamua bila kushurutishwa anaweza kukubaliaana na maamuzi hayo ya mroro wa miaka 9 kuolewa ama kuoa. Ukielimisha ana kumpa nafasi ya kujiendeleza mroro wa kike ama mwanamke ni kuendelezanjamii nzima sasa kwa maana hiyo basi kumnyima haki mtoto wakike ni sawana kunyima haki jamii nzima.
 
Umeandika Maelezo mengi ili kutetea Ujinga na upumbavu wa waarabu ulio Asisiwa na bwana Muddy, kwahiyo kama Zamani watu walikuwa wanatenda matendo ya kijinga bhasi Na Sisi tuendelee kutenda huo ujinga mpaka Leo

Kumuoa Binti wa miaka Hicho ni kitendo cha ukosefu wa Akili , Yaani Binti wa miaka Tisa like seriously!? Imagine Mtoto wako wa kike Aolewe Akiwa na miaka Tisa wewe Una kubali!? Acha kuruka ruka kubali Tu kwamba muddy alikuwa ni Mtu wa hovyo ,

Muddy alioa mpaka ex wife wa Mtoto wake wa kufikia ,(Eti Mungu kamuotesha Wtf 😁🤣🤣)
Mada imetoka kujadili Australia kupiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto mpaka kufikia hatua ya marumbano na kashifa za kidini.
Hayo uliyo yaandika yana uhusiano gani na mada uliyo iandika hapo juu?

Hivi watz tuna matatizo gani hasa ?
 
Hakuan ahaja ya kuweka maelezo marefu, historia na tamaduni za watu.
Mtoto kuolewa akiwa chini ya miaka 20 ni aina falani ya upumbavu wa mwaisho hapa duniani.
Kwamba kama Allah amerehusu,mtume ameruhusu, dini imeruhusu hawa wote ni hawana akili. Narudia tena HAWANA AKILI!
Zamani mwanamke alikuwa ana olewa baada ya kuvunja ungo haya mambo ya miaka 18 yameanzishwa na wazungu karne ya 21.
 
Tuhuma ya "pedophilia" dhidi ya Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) hutolewa na watu aina tatu;-

1. Watu wenye chuki dhidi ya Uislam ambao wako tayari kuupiga vita Uislam kwa fursa yoyote watakayoipata hata kama ni kwa kumchafua Mtume Muhammad kwa tuhuma za uongo na wanajua kuwa ni tuhuma hizo ni uongo; Baadhi ya watu wenye chuki dhidi ya Uislam wamekuwa sio waadilifu na hawako honest ili mradi tu wauchafue Uislam na kumtukana Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), baada ya kushindwa katika hoja zao wamekuwa wakikimbilia katika tuhuma za uongo na kujaribu kumchafua Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kwa tuhuma ya "pedophilia" na kujaribu kuuchafua Uislam. Watu hawa lengo Lao wala sio kuutafuta ukweli bali wana ajenda tu. Watu wa kundi hili wanajua ukweli wa kihistoria, wanaelewa uhalisia lakini kwa makusudi wanatumia ujinga wa watu kupotosha na kupitisha ajenda zao za kuupiga vita Uislam. Watu wa kundi hili wanapokutana na waislam wajinga wakajadiliana nao, hupitisha tuhuma hii ya uongo dhidi ya Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) wakijua waislam hao hawajui uhalisia wa mambo.

Kundi hili linajua linachokifanya, linajua kabisa historia, linajua kabisa kuhusu tamaduni na civilizations za wanadamu, lakini linafanya makusudi kutoa tuhuma za uongo kwa sababu ya chuki na wana ajenda zao.

2. Halafu kuna kundi jengine la watu ambao wana chuki dhidi ya Uislam, lakini ni wajinga, hawaelewi chochote kuhusu historia, tamaduni na civilizations wala tabia na desturi za jamii mbalimbali, wanaikimbilia tuhuma hiyo ya uongo dhidi ya Mtume kwa kufuata mkumbo tu wa kundi la kwanza. Wanawafuata kundi la kwanza kichwa mchunga.

3. Halafu kuna kundi la tatu la watu ambao hawajahifadhi chuki dhidi ya Uislam wala chuki dhidi ya Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake), ila ni wajinga tu na wako confused na wanataka kuelewa jinsi mtoto wa miaka 6 alivyoposwa kwa Mtume Muhammad au kwa mfalme Richard wa Pili au kivipi biblical figures nao walioa wenye umri mdogo au kwanini mababu wa kiafrika zamani walioa mabinti wenye umri mdogo na kadhalika. Wanashangaa kwa sababu iko kinyume na desturi zao za sasa za kijamii walizokulia. Hawana chuki ila wanataka kujua tu na kuelewa how. Wamesikia tu na wanataka kuelewa bila chuki wala nia mbaya. Hawa wanaweza kueleweshwa wakaelewa kirahisi.

Kuna kitabu kidogo tu kiliandikwa na Dr. Abu Iyaad Amjad Rafiq kinaitwa "Customs of Marriage in History and Modern-Day Pedophilia" ni kizuri na kinawajibu watu wanaomtuhumu Mtume Muhammad (na wakati huo huo kuwatuhumu Manabii wengine, watu wema wa zamani na watu wengine ikiwemo wazee wao wa zamani) kwa tuhuma ya uongo ya pedophilia.

Utaona Pedophilia, ambayo ni hali iliyoibuka kuanzia miaka ya 1950 katika nchi za magharibi kutokana na movements za watu waliotaka uhuru wa kingono, movements ambazo zilisukumwa na falsafa za kiliberali za ukana-Mungu (atheism), za watu waliotaka kuenjoy kingono na watoto wadogo kwa kuwa tu ni watoto (yaani interest yao ya kingono iko kwa watoto specifically) na wanapigania umri wa consent ya kufanya ngono ushushwe au uondolewe kabisa kama wanavyopigania kuhalalishwa kwa homosexuality. Namna Modern-Day interest katika hiyo pedophilia ilivyo mbali na desturi za kijamii na tamaduni kuhusiana na ndoa hapo kabla.

Na namna ambavyo haifai ku evaluate desturi za kijamii na kitamaduni kuhusu ndoa hapo kabla ukazi evaluate kwa kutumia movements zinazopigania uhuru wa kingono katika karne ya 20 na kupitia Modern-Day interest katika pedophilia.

20241129_100555.jpg
 
Back
Top Bottom