Australian open 2011

HUyu mfaransa mwenye mbwembwe Monfils naye katolewa
 
.........
Meanwhile, Djokovic celebrates his earlier victory by practicing his footwork in the company of Dancing with the Stars celebrity Kim Johnson

hahahha Naona dada hapo katabasamu kwelikweli
 
Lazima atabasamu hapo anaweza kumpora mchumba wa Djoko...ila kwenye tennis kuna vibweka vyake nadhani next weekend tutashuhudia vingi
 
Venus Williams kajiondoa jamani. Paja la kushoto limezidid kuwa mbaya. Mpinzani wake aendelea raundi ya nne.
Nimesikitiuka sana.
 
Venus Williams kajiondoa jamani. Paja la kushoto limezidid kuwa mbaya. Mpinzani wake aendelea raundi ya nne.
Nimesikitiuka sana.

Hata mimi imeniuma sema ndivo hivyo alikuwa anacheza lakini ni majeruhi
 
Lazima atabasamu hapo anaweza kumpora mchumba wa Djoko...ila kwenye tennis kuna vibweka vyake nadhani next weekend tutashuhudia vingi

Senator umenikumbusha waingereza kwa sifa wanavyompigiaga chapuo jamaa yao lakini huwa hafiki mbali
 

Naona Henin hapo juu anaweka barafu kupooza joto sasa sijui wangekuwa wanachezea Bongo hawa si wangezimia kabisa
 
HUyu mfaransa mwenye mbwembwe Monfils naye katolewa
Gael anajitahidi sana ukimfananisha na Wafaransa wenzie,sijui wana matatizo gani yaani wapowapo tu japo wanaonekana wakikaza wazuri.
 
Senator umenikumbusha waingereza kwa sifa wanavyompigiaga chapuo jamaa yao lakini huwa hafiki mbali
Uko sahihi kabisa kiwango chke ni kizuri lakini wapo wanaomzidi wengi tu na kwenye Tennis wanigereza hawana chao inabidi wawape urai warembo wa russioa na na ncho za iliyokuwa USSR zmani ili wafanikiwe.
nadhani sasa mashindano waafrika wameisha TSONGA, Monfils wametolewa, V William ndio hivyo majeraha.

Mimi nataka huyu jamaa Soldering au Djokovic ashinde hawa wengine tumewachoka
 
Gael anajitahidi sana ukimfananisha na Wafaransa wenzie,sijui wana matatizo gani yaani wapowapo tu japo wanaonekana wakikaza wazuri.

Kweli ni mzuri tena sana lakini sometime huwa anafanya mzaha sana. But ndivyo alivyo ndio maana anapendwa
 
...Kudra haishindi uwezo..so tunategemea na uwezo kwenye court na sio kudra za maulana!!
 
Angalia kipenzi cha waingereza


Team Murray - which includes Andy's mum and Scottish comedian Billy Connolly - are delighted with their man's display at the start of the match as Britain's number one wins the opening set in 37 minutes

Time for the mighty Muzz to dish up some more big serves on Rod Laver Arena as the world number five goes up against Austrian Jurgen Melzer who promised plenty of aggression in his pre-match build-up
 
...Kudra haishindi uwezo..so tunategemea na uwezo kwenye court na sio kudra za maulana!!

Senetor kweli lakini zaidi ya kufurahia mchezo napenda majina mapya I like federer nampenda pia Nadal lakini napenda zaidi majina mapya sasa baada ya kuona replay ya style ya uchezaji ya huyu jamaa dugopolov nimeshawishika nimkubali. Hope atamtoa jasho murray.

si unajua hata kwenye michezo kama mpira Huwezi kusema wewe ni shabiki wa brazil sabbu brazil ni timu ya wote. Teh teh teh

zaidi ya uwezo watu wanachagua timu. ebu nimbie wewe unapenda nani achukue hii Australian Open. ukiondoa majina makubwa tunayoyajua.

Senetor said:
Time for the mighty Muzz to dish up some more big serves on Rod Laver Arena as the world number five goes up against Austrian Jurgen Melzer who promised plenty of aggression in his pre-match build-up

Huyu Murray sikutegemea amnyanyase huyu melzer kiasi hiki. naona tumekwenda patamu sasa.
 

Nimependa style yake ya uchezaji huyu jamaa alivyomtoa msweeden Soldering.



Hasira za Mkizi......
 
Murray kelele nyingi ila badu ngumu sana kushinda grand slam.
 
Nimeona Leo Mtu mzima kasonga mbele na anasubiria Game ya Djoko baadae.Kwa kweli mie ningependa mtu mzima Federer ashinde tu kuweka kufika record ya Lod lavena..ila atakuwa na Gmae tough sana kwa Djoko kwenye Semi.Huyo dogo Dogopolv wa ukraine game zake kashinda kwa shida sana 5 set inachosha so akikutana na wazee wakazi ambao wanashinda straight atakuwa na wakati mgumu...Ngoja tuone atakapoishia.
Si umeona leo mtaliano yule demu alivyopambana na Wonziack lakin ndo vile tena kudra hazikushinda uwezo dada wa kitaliano akachakaa kwa 2-1.
 



The two have played alongside for their country in the Davis Cup and won Olympic doubles gold together, but, when they are on opposite sides of the net, Wawrinka has won only one of their seven encounters

Hasira za mkizi zipo nyingi tu wiki hii

An eighth successive semi-final spot beckons for Federer while Wawrinka is left to reflect on his best showing yet at the Australian Open
 

Habari yake imekwisha janaa dah ila atapanda cheo next week
Dolgopolov departs the Rod Laver Arena having made a huge impact, and knowing he will rise to 34th in the world rankings next week

Huyu ndo kAmletea dhahama yote kijana Dolgopolov
Murray is a relieved man when he closes out a 7-5 6-3 6-7 (3-7) 6-3 victory after a little over three hours, with Rafael Nadal or David Ferrer waiting in the semis

Hii yote ilitokana na uwepo wa watu kama hawa kumpa moyo kijana wao akiwa kwenye mchezo huo mgumu


na hawa pia hawakuwa mbali na kipenzi chao namba moja


Wanja nalo lilikuwa nyomi mtu kunagalia kipendwa chao kipambana!!

Rod Laver Arena hosts the third of the men's quarter-finals as British number one and fifth seed Andy Murray takes on Ukraine's Alexandr Dolgopolov
 

Ferrer beats injured Nadal to secure Murray semi-final

David Ferrer defeated an injury-stricken Rafael Nadal 6-4 6-2 6-3 to set up a semi-final against Andy Murray at the Australian Open.

Top seed Nadal had his left thigh strapped early in the first set and the heavy-hitting Ferrer showed his friend and fellow Spaniard little mercy.

Ferrer feasted on Nadal's weakened serve as he moved into a two-set lead.

And while Nadal hung in gamely, seventh seed Ferrer held his nerve to secure a semi-final debut in Melbourne.

It was the first time the 24-year-old Nadal had lost in a major since retiring hurt against Murray in last year's Australian Open quarter-finals.
And injury destroyed the world number one's dream of holding all four majors simultaneously - the so-called 'Rafa Slam' - on Rod Laver Arena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…