Nafikiri wewe ni miongoni mwa jamii ya wale Waislamu ambao upeo wao wa akili ni kiduchu sana, wale Waislamu ambao ni Mambumbumbu.
Lakini Ukweli mchungu Sana unabaki kuwa mmekuwa tatizo kubwa sana katika nchi nyingi Sana hapa duniani, Watu wengine wengi wanakosa Imani dhidi yenu. Tatizo hili mmelitengeneza nyinyi wenyewe kutokana na matendo yenu ya uhalifu kwa misingi ya Imani yenu ya Uislam, kwa hakika mnapaswa kubadilika na kujirekebisha.
Sasa hivi Wasafiri wa Kimataifa wamekuwa wakikumbana na Kero kubwa sana kutokana na matendo yenu. Kwenye Hati yako ya Kusafiria (Passport) ikiwa imepigwa Mhuri au kuwa na Stamps za Mihuri ya kuwahi kutembelea kwenye nchi za Kiislamu au nchi zenye Waislamu wengi Basi utakumbana na Kero kubwa sana kutoka kwa Maafisa wa Uhamiaji katika nchi mbalimbali, utaulizwa maswali mengi Sana kupita kiasi kuhusiana na Safari zako ulizofanya kwenye nchi hizo za Kiislamu.