Papupi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,028 Reaction score 3,241 Mar 7, 2015 #1 Nahitaji kwenda kusoma hii course, vipi kuhusu soko lake la ajira na fursa zake?.. nawasilisha
phitter Senior Member Joined Dec 1, 2014 Posts 158 Reaction score 173 Mar 7, 2015 #2 Soma kwanza utaona uzur na ibaya wake na ajira cku hizi ni bahati ya mtu, usoje shangaa mtu anasoma bachl ya biashara hlf anaajiriwa kuwa doctor mkuu wa mkoa!!!!!
Soma kwanza utaona uzur na ibaya wake na ajira cku hizi ni bahati ya mtu, usoje shangaa mtu anasoma bachl ya biashara hlf anaajiriwa kuwa doctor mkuu wa mkoa!!!!!