Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
Kwa wale wa miaka ile mnakumbuka zile AUTO ambapo mtu alikuwa anamuomba mwenzake ajaze kwenye auto personal particulars kama names, parents names, likes, dislikes, ambitions, ushauri kwa mwenye auto etc. kulikuwa pia na short word ambazo kila herufi ili-represent neno. kwa wale wanaokumbuka tujikumbushe