INAUZWA Automatic gate motor (mashine ya kufunga/kufungua geti)

timmysan

Member
Joined
Oct 25, 2017
Posts
8
Reaction score
5
Karibu upate huduma ya Automatic gate motor. Hiki ni kifaa maalumu kinachofunga na kufungua geti kwa remote au simu.

Inakua na battery kwaajili ya kuhifadhi umeme endapo ikitokea dharula umeme umekatika itaendelea kufanya kazi.

Gharama yake ni 1,750,000/= tu vifaa pamoja na ufundi.


Yafanye makazi yako kua sehemu salama kwa kufunga vifaa mbaliambali vya usalama kama:
  • CCTV Cameras
  • Electrical Fence
  • Video Intercom
  • Fire alarm system
na mifumo kadha wa kadha ya usalama wa nyumba na ofisi
Tupigie simu kwa ushauri 0744255677
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…