Automatic Transmission

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Je, ni madhara kutumika miguu miwili kwenye pedal mbili za gari wakati wa kuendesha? Na ambae anatumia mguu mmoja katika pedal zote mbili?
 
Kmaa control naifanya vzr naachia exlator na napobana brake bado itakua na shda?
Hakuna shida ila ni rahisi kujichanganya badala ya brake ukanyage mafuta unajikuta umeshagonga tayari
 
Inategemea na ulivyoanza kujifunza hiyo Gari....kama ulianzia manual na kuzoea basi ni ngumu ku adapt miguu miwili kwenye auto...ila kama umeanzia auto moja kwa moja na hutarajii kukutana na manual sioni tatizo lolote....mimi nilijifunzia manual lakini nikaja kutumia auto na nikaanza nayo kwa kutumia miguu miwili, ni mwaka wa kumi sasa na huwa nasafiri masafa bila shida yoyote.

Athari ninayoijua ni kuwa sitaki Mtu wa karibu ajue maana kuna Mtu alipogundua alinicheka na kusema naendesha kitoto au kike.

Na kuna siku nilitaka kujaribu hiyo ya Mguu mmoja nikajikuta nashindilia pedal ya mafuta nikijua ni breki ilibaki inches niuvae ukuta sitasahau...nimeapa sihangaiki tena nitaendelea na Miguu miwili, kwani nini bana.
 
Hapa ninaona tujue shida ni nini ,
Chanzo hapa kumbe ni kujisahau ila kimsingi naona haina shida .au...
 
Real men use 3 pedals... miguu miwili kwenye manual tuu.. mguu mmoja nenda kaendeshe automatic ukooo
 

Wewe tutakutoa huku hadi upate akili
 
Hapa ninaona tujue shida ni nini ,
Chanzo hapa kumbe ni kujisahau ila kimsingi naona haina shida .au...
Haina shida, muhimu ni mazoea usije ukajaribu jambo jipya ndani ya muda mfupi haswa kwa chombo cha moto...utapata ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…