K Kremme JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 471 Reaction score 495 Feb 17, 2018 #1 Hbr, wa ndugu, wap naweza pata tyre inflator portable( pump ya kuongezea upepo tair) ambayo unaweza uka-connect kwenye terminal za gar afu ukaswitch on afu ukajaza upepo. Mfano wa picha down.
Hbr, wa ndugu, wap naweza pata tyre inflator portable( pump ya kuongezea upepo tair) ambayo unaweza uka-connect kwenye terminal za gar afu ukaswitch on afu ukajaza upepo. Mfano wa picha down.
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Feb 17, 2018 #2 Kremme said: wap naweza pata tyre inflator portable( pump ya kuongezea upepo tair) ambayo unaweza uka-connect kwenye terminal za gar Click to expand... Hizi ufanisi wake ni mdogo. Angalia hii Iko hapa Spoiler Car Tire Tyre Inflator Portable Metal Vehicle Auto Electric Pump Air Compressor Double Cylinder Digital Air Compressor-in Inflatable Pump from Automobiles & Motorcycles on Aliexpress.com | Alibaba Group Kwa taratibu za kuagiza ingia hapa Spoiler Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Karibu
Kremme said: wap naweza pata tyre inflator portable( pump ya kuongezea upepo tair) ambayo unaweza uka-connect kwenye terminal za gar Click to expand... Hizi ufanisi wake ni mdogo. Angalia hii Iko hapa Spoiler Car Tire Tyre Inflator Portable Metal Vehicle Auto Electric Pump Air Compressor Double Cylinder Digital Air Compressor-in Inflatable Pump from Automobiles & Motorcycles on Aliexpress.com | Alibaba Group Kwa taratibu za kuagiza ingia hapa Spoiler Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Karibu
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Feb 17, 2018 #3 zipo dubai bei poa 350 dh ni imara ninayo mimi tangu 2014 naitumia kwenye surf