Automobile eng or Mechanical eng, your opinion will be helpful

Smart Contract

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,158
Reaction score
2,847
Nina mwanangu ame 'be selected katika kozi ya automobile eng lakini sina uelewa sana na kozi hii, soko la ajira na ni mahali gani atafanya kazi baada ya kuhitimu.

Nilikua nawazo nimuhamishe kwa kozi mechanical eng hivyo naomba ushauri ni mhamishe au nimuache na hiyo hiyo kama ina deal.
 
machanical eng. ni hardcore enginerin. lakin automobile eng ni softcore engeniaring
 
HIYO AUTOMOTIVE/automobile engineering ni the same na mazingira yao ya kufanya kazi pia yanafanana eg. migodini, bandarini, viwandani na kwenye mitambo ya gas.

kutokana na uhitaji wa teknolojia siku za usoni binafsi namshauri apige MECHANICAL.

mimi nina diploma ya mech na pia nimeomba chuo kama mambo yakienda vema naenda piga shahada yake pale DIT au MUST.
 

Shukrani kijana kwa hili wazo ntalifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…