Automobile Engineering

Automobile Engineering

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
3,695
Reaction score
5,042
Habari !
Hii fani kwa hapa Tanzania nafikiri vyuo vinavyotoa ni ATC kwa ngazi ya Diploma na NIT kwa ngazi ya degree/
Naomba ufafanuzi wake kuhusu soko lake la ajira kwa hapa kwetu Tanzania.. na umuhimu wake kwa hapa Tanzania hapo mbeleni, tukizingatia kuna miradi mikubwa kama ya Gas na Migodi. maana nahisi kama Mechanical inaipoteza hii kozi kutoka na vitu vingi watu wa ME wanavisoma ukilinganisha na hao wa Auto.

Asante
 
Back
Top Bottom