Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

Kwani pesa za kununua kiwanja ulitoa wewe?? Mwache na maisha yake na mwanae kupanga ni kuchagua. Hata siku akifurumushwa hatakuja kwako.
Halafu sio akafanye happy birthday ni " birthday"
 
ningekua mimi hiko kiwanja ningempa kama zawadi ya birthday mwanangu huyo.
 
Kwani pesa za kununua kiwanja ulitoa wewe?? Mwache na maisha yake na mwanae kupanga ni kuchagua. Hata siku akifurumushwa hatakuja kwako.
Halafu sio akafanye happy birthday ni " birthday"
Halafu sio akafanye happy birthday ni " birthday"πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa
Kakinunue ujenge.
 
Halafu sio akafanye happy birthday ni " birthday"πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Huwa nakasirikia sana unakuta mtu mzima anakwambia kesho ni happy birthday yangu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
wadada limewaingia kweli kweli badilini akili zenu usifikirie leo tu fikiria na kesho watoto wanakua wao
Kumbe wewe ni ngese unatafuta mabwana. Mimi binafsi si deal na makuchu bwashee, jaribu kwingine
 
Huwa nakasirikia sana unakuta mtu mzima anakwambia kesho ni happy birthday yangu 🀣🀣🀣🀣🀣
Hahahhaha ili mradi unaelewa tu😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…