Auza kiwanja ili afanye birthday ya mtoto wake

kama kiwanja ni chake,mtoto pia ni wake,na hata siku pia inaadhimishwa nyumbani kwake,wewe kama jirani jiandae kula ubwabwa baasi.

kama huelewi,dunia inahitaji watu ambao hawako serious sana.
 
Ana mapenz sana na mtoto wake, anafaa kuigwa.
 
Mwanaume ukifananishwa akili na mwanamke huyo mtu ni amekutusi pakubwa sana.

Udhungu unawatesa sana hawa ndio wanazidi na kudanga
 
Huyo mwanamke sijui kila mwaka atakuwa anauza nini ili aweze kumfanyia mtoto/watoto birthday πŸ€”
 
Inshort Kila mtu afanye anacho jua uwezi ishi kisa misingi ya watu wenda wewe una stor yake moja uwez jua anavingapi
 
Iko ivi dar kuna mambo wanayaita shughuli yaan shughuli iwe harusi iwe birthday iwe sijui kitchen party iwe kumtoa mtoto 40 iwe kumtoa mtoto jando hizo zote ni shughuli na watu wanafanya shughuli Ili kupata pesa zaid
Mfano Mimi nimefanya birthday nimegharamikia mambo yote mashoga zangu niliowaalika mnatakiwa kufika nakunipongeza sio Kwa elf mbili mbili ni pesa kuanzia laki na kuendelea Sasa wale mashoga wakitoa Kila mmoja laki tatu tatu ya kumtunza huyo mtoto birthday yake na wao wakiwa na shughuli yoyote Ile lazma ufike na utoe zaid ya Ile laki tatu mfumo upo Ivo
 
Huyo sifuri,sawa na uza nyumba Jenga heshima bar!
 
Unajitahidi Kufafanua Upuuzi...
 
Akienda kutunza ktk birthday wanaitanaga matajiri,sio shida zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…