Availability of Credit Cards in Tanzania

KVM

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
1,852
Reaction score
931
Ndugu zanguni,

Naomba anayejuauwezekano wa kupata Credit Cards Tanzania na jinsi ya kuzilipia.

Asanteni.
 
Tueleweshe tofauti ya overdtaft na credit card.

Kwa ufupi ni kuwa overdraft ni mpango wa benki unaokuruhusu kuchukua pesa kuliko pesa ulizonazo kwenye account yako. Tatizo lake kubwa kwangu mimi ni kuwa siwezi kutumia hiyo pesa kuagiza kifaa kama kitabu au spare parts kutoka nchi za nje kwa haraka.

Credit card ni kama overdraft lakini unapewa visa card ambayo inakuruhusu kununua kitu kutoka mhali popote duniani kwa kutumia mtandao wa Internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…