AVATAR: A way of water

AVATAR: A way of water

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Trailer no. 1 imetoka leo. Hatimaye baada ya miaka 13 ya uvumilivu kitu kitarudi tena kwenye big screen mwaka huu.

Lakini itaweza kukata kiu yetu na kufanya vizuri sokoni kama ilivyo fanikiwa 2009?

Muda utaongea.
12b8f276404d7a250a03566a42aa3f27.png

Mods badilisheni heading iwe AVATAR 2: the way of water
 
Trailer no. 1 imetoka leo. Hatimaye baada ya miaka 13 ya uvumilivu kitu kitarudi tena kwenye big screen mwaka huu.

Lakini itaweza kukata kiu yetu na kufanya vizuri sokoni kama ilivyo fanikiwa 2009?

Muda utaongea.
View attachment 2218100

Mods badilisheni heading iwe AVATAR 2: the way of water
Inatoka lini?
 
Nilibahatika kuona trailer yake cinema asee visual zilikuwa insane na pale sio 3D sema nna wasi wasi kama haitoweza kufikia ya 2009 maana hizi Movies zinashindwaga kuishi kwenye standards zilizojisetia.

Yasiwe ya “The Matrix” hope they will do well
 
Let's hope itafanikiwa.
 
Back
Top Bottom