I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Inatoka lini?Trailer no. 1 imetoka leo. Hatimaye baada ya miaka 13 ya uvumilivu kitu kitarudi tena kwenye big screen mwaka huu.
Lakini itaweza kukata kiu yetu na kufanya vizuri sokoni kama ilivyo fanikiwa 2009?
Muda utaongea.
View attachment 2218100
Mods badilisheni heading iwe AVATAR 2: the way of water
Let's hope itafanikiwa.Nilibahatika kuona trailer yake cinema asee visual zilikuwa insane na pale sio 3D sema nna wasi wasi kama haitoweza kufikia ya 2009 maana hizi Movies zinashindwaga kuishi kwenye standards zilizojisetia.
Yasiwe ya “The Matrix” hope they will do well