Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Unampenda everlenk au avatar???Ya everlenk naipenda saaaana.
mimi ningeingia chini ya uvungu kupinga waliopanda juu ya meza hauwezekani karne hii kuendelea na JEMBENaipenda sana avatar ya Mzee Mwanakijiji. Nakumbuka it was 2010 alitaka kuibadili, kwa kweli Wanaume JF tulipanda juu ya meza kuu ya mgeni rasmi na kufanya fujo, hadi mgeni rasmi akamuomba Mzee Mwanakijiji abadili msimamo wake.
kale kajembe kako maridadi kabisa, KAZI yake ni kuongeza utanashati na sio cha kulimia.mimi ningeingia chini ya uvungu kupinga waliopanda juu ya meza hauwezekani karne hii kuendelea na JEMBE
kale kajembe kako maridadi kabisa, KAZI yake ni kuongeza utanashati na sio cha kulimia.
Ni kama tai, haikusitiri ila inakuongezeA umaridadi.
Hata fimbo ya askari sio silaha ni kiashiria cha mamlaka na kuongeza unadhifu