We mtata[emoji3]mimi ningeingia chini ya uvungu kupinga waliopanda juu ya meza hauwezekani karne hii kuendelea na JEMBE
Unapenda hii ya cheo kipya au ile ya mwanzoYa Galadudu huwa inaniacha hoi
Ipi sasa kati ya hii au ile ya mwanzoGaladudu!
Ile ya mwanzo president GaladuduIpi sasa kati ya hii au ile ya mwanzo
Hii ya kwako pia ni nzuri, inapendezaRed giant