Hey avatar yangu ipo .gif lakini kila niki-upload naona haishake ati...nimejaribu sana nimeshindwa,nimejaribu kusoma rules nimetoka KO...hembu nielimisheni hapa. OS yangu ni Linux UE 2.8(nadhani hii sio tatizo)
duh wachangiaji msaada wenu ni kama nguvu za giva...lakini msg sent ngoja niichaje hivihivi, ila liking'ata watu mi nitagharamia matibabu kule Loliondo kwa Babu...usafiri juu yako!!1hahaaa