Avatar ya kike kumbe mwanaume

Nishasahau... Umenuna kwa vingi...
Hahahahaha. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ileeeee najuzz nilianza zakuleta ukasema unaona..!! Naanzisha mwenyewe ukinipa nanunaaaa maneno kibaooo
 
wanaudhi sana mtu men au jike anaweka Avatar haihusiani na wewe,alafu ukiitwa shost povu sas povu la nini
 
Hahahahaha. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ileeeee najuzz nilianza zakuleta ukasema unaona..!! Naanzisha mwenyewe ukinipa nanunaaaa maneno kibaooo
Hahaha...
Basi usiseme tena... Nishakusoma mahondaw wangu...
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Hahaha...
Basi usiseme tena... Nishakusoma mahondaw wangu...
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Dada kumbe unajua leo kma iz id nyingine kichef chefu uyo mwizi anatuibia pm mi nishatapeliwa na moja anajihita richaabla
 
Dada kumbe unajua leo kma iz id nyingine kichef chefu uyo mwizi anatuibia pm mi nishatapeliwa na moja anajihita richaabla
Ha ha ha ha. Diiiiih!!!!na kutapeli huu mnatapeliwa???mie sijui nani atakae nitapeli mtandaoni mwenzenu
 
Na wewe Maserati yaani unawashangaa vidume vya Dar, wengi wao ni magarasa tu.
 
Lazima nishangae jamaniii. Mi mgeni maeneo haya

Basi utastahajabika sana kuishi na wanaume wa Dar....akitoka asubuhi anawaza bongo fleva na taarab, ukimkaribisha mchezo anaanza kukubania pua, alooooooo jomoni bibi wewe veepeeee, yaani wamenichosha vijanadume vya Dar, utata mtupu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…