Avatar ya member gani ulikuwa unaiangalia juu juu lakini baada ya kuiview ukaielewa vizuri

Avatar ya member gani ulikuwa unaiangalia juu juu lakini baada ya kuiview ukaielewa vizuri

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka nilipo amua kuiview

Mahondaw huyu nilikuwa sielewi ni nini kumbe ni shape ya mwanamke

Meneja wa kampuni huyu nilijua ni picha ya mwanamke tu kumbe ni kama bango au kipeperushi.
 
hii hapa
Screenshot 2024-06-17 145747.png
 
Back
Top Bottom