Avatar ya tapaiko na mkeho

Avatar ya tapaiko na mkeho

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kuna watu wananifwata inbox kwasababu ya hiyo avatar. Please stop that mimi ni janadume lenye madevu mengi hiyo avatar ni manzi angu.
 
Kuna watu wananifwata inbox kwasababu ya hiyo avatar. Please stop that mimi ni janadume lenye madevu mengi hiyo avatar ni manzi angu.
Hehehehe
Subiri huu mwaliko ulioutoa lazima huko inbox trafik ijae
 
Kwahiyo wamekupiga sound?
Wanataka papuchi?
 
Kwanini uwieke kama siyo unafurahia kutongozwa na wanaume wenzio?
 
Mwanaume kutumia avatar Kama hizi inaeleta ukakasi

Tunaweza jua mwanetu we ni mwana kumbe mwanjuma
 
Back
Top Bottom